DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

fiasco

Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
55
Reaction score
20
Wadau kwema kuna fursa imetoka DCB bank wanatoa account ya fixed yenye riba hadi 14% kiwango cha riba kinatofautiana kutokana na kiwango cha uwekezaji wako

Uzuri faida yake unachagua upewe kwa kila mwezi au mwisho wa muda utakaochagua zinaanzia miezi mitatu ,sita,tisa hadi kumi na mbili yaani mwaka.

kwa maelezo kamili text me inbox for more info

Nawasilisha
9a6RVTJeLHWEU6QE665QDaNQ.jpeg
 
Hii ni campaign imeenda kwa for two years only ila viwango vya fdr vipo kama kawaida
Hii bank inashida na liability so kwa lugha ya kitalaamu kuna shida ya ukwasi so wanatafuta hela kuokoa jahazi bei ya fixed deposit kwa sasa ni 5-7%
 
Mtu akiweka milioni 50 anapata riba kiasi gani?

Nikiweka milioni 50 kwa miezi 6, hebu dadavua nikihitaji kulipwa kwa mwezi nitakuwa napata shilingi ngapi kila mwezi kabla sijachukua 50 yangu baada ya miezi 6?
 
Viwango vya asilimia vinatofautiana na uwekezaji wako iyo 14% uwekezaji mkubwa zaidi
Uwezekano wa kupoteza hela zako hapa ni mkubwa mno na tena sana unachukua fixed kwa 14% alafu unaziweka wapi ili zitoe maximum yield above 14.1% hii haiwezekani
 
Riba inakuwa 7% times 50M times 10% V.A.T kinachopatikana kina gawanywa kwa 6 ambayo ni miezi sita then unapata equivalent ya kila mwezi
Mtu akiweka milioni 50 anapata riba kiasi gani?

Nikiweka milioni 50 kwa miezi 6, hebu dadavua nikihitaji kulipwa kwa mwezi nitakuwa napata shilingi ngapi kila mwezi kabla sijachukua 50 yangu baada ya miezi 6?
 
Kabla yakuweka hela yako yoyote ile katika uwekezaji ama amana katika tasisi za kifedha cha kwanza angalia tarifa zakifedha za tasisi husika kwa mfano kiwango cha mtaji na faida iliyopitikana kwa mwaka uliopita so hii bank ni community bank so atueleze mwaka jana imepata faida kiasi gani
 
Kama mtumiaji wa bank yoyote utakuwa unajua kila bank inakuwa na product ya fixed account ,kinachokuja ni marketing campaign so may kuna sehemu hujaelewa nimesisitiza nikakwambia ni campaign ya miaka miwili
Kabla yakuweka hela yako yoyote ile katika uwekezaji ama amana katika tasisi za kifedha cha kwanza angalia tarifa zakifedha za tasisi husika kwa mfano kiwango cha mtaji na faida iliyopitikana kwa mwaka uliopita so hii bank ni community bank so atueleze mwaka jana imepata faida kiasi gani
 
Riba inakuwa 7% times 50M times 10% V.A.T kinachopatikana kina gawanywa kwa 6 ambayo ni miezi sita then unapata equivalent ya kila mwezi
Mkuu ni 7% times 50m times 10% vat au 7% times 50m kisha tunatoa 10% vat (Ya kilichopatikana)?

Sorry sijaelewa hapo
 
Bodi ya amana chini cha BOT huijui,zile community bank ambazo ziliwekwa chini ya liquidator na wateja wakaruhusiwa kutokuchukua zaidi ya million1 huijui alafu leo unawambia watu wawekeze mamilion kwenye bank ambayo market risk appetite ni more than 60%
Unakijua unachokiongea?
 
Kama mtumiaji wa bank yoyote utakuwa unajua kila bank inakuwa na product ya fixed account ,kinachokuja ni marketing campaign so may kuna sehemu hujaelewa nimesisitiza nikakwambia ni campaign ya miaka miwili
Hapa hatuongelei habari za Products mtu makini anayetaka kuweka fixed deposit lazima angalie bank inaperform vipi kwenye soko siwezi kuwaleta lets say 1billion wakati bank yenu haijawahi kutengeneza hata faida ya 1billion sijui unanielewa vzuri
 
Back
Top Bottom