- Thread starter
- #61
Ndicho nlikuwa namaanisha but uyo key point haelewi na anasema anauzoefuVizuri, kwamba anayeleta 100m+ ndo mnampa hiyo 14%, je nyie mnakopesha kwa riba gani?
Riba ni 17%
Ndicho nlikuwa namaanisha but uyo key point haelewi na anasema anauzoefuVizuri, kwamba anayeleta 100m+ ndo mnampa hiyo 14%, je nyie mnakopesha kwa riba gani?
Ndicho nlikuwa namaanisha but uyo key point haelewi na anasema anauzoefu
Riba ni 17%
Kwenye matawi zinapatikana for more help check them ,but kinachofanyika kwa ufupi there a lot of product that zinakuwa segmented then zinazoleta accumulation so inaptikana income ya operation zoteSasa mkuu, hapo tunazungumzia tofauti ya 3%, kuna mishahara, rents, na gharama zingine za kuiendesha benki zinazotegemewa kutokea humo kwenye Interest Income, unategemea kwamba itatosha?
Najua DCB hawako vizuri kwenye forex, kwamba wangepata zaidi pia huko, sana wanategemea mikopo.
Unaweza kutuwekea hapa Financials za 2019, na za quarter ya kwanza ya 2020?
Hapana umenielewa vibaya kwakweli kwa uzoefu wangu leo hii bank inayotoa 14% kwenye fixed ni DCB pekee yake sasa basi sisi waelewa tunapata kigugumizi kwasababu sokoni bei ni 5-8% bei ya fixed tena 100m ni 5.5%-6 mwishoNdicho nlikuwa namaanisha but uyo key point haelewi na anasema anauzoefu
Riba ni 17%
Kwenye matawi zinapatikana for more help check them ,but kinachofanyika kwa ufupi there a lot of product that zinakuwa segmented then zinazoleta accumulation so inaptikana income ya operation zote
Hati fungani kwa kingereza zinaitwa treasury bills zenyewe zinauzwa na BOT na zenyewe mnada wake huwa ni kila jumatano nahisi ya mwanzo wa mwezi hapa naweza rekebishwa na wateja wake wakubwa ni mabanks,watu binafsi na wawekezaji kutoka ndani ama nje na zimegawanyika katika za muda mfupi na mrefu na sikuzote zina Discount rate kwenye maturityNa hati fungate zenyewe zikoje kwa sasa?
Kwa nini usimueleweshe sasa?Sema bado kuna kitu hakipo sawa yani kuelewa kwako ni mgumu kdg
The future is unknown in this bank na sasa hivi market Risk iko very speculative the risk of high and lower interest haitabiliki hata juzi crdb kushusha riba yake kutoka 17%-14% ilitupa ukakasi ila tukaona alivyofanya segments tukamuelewaaMkuu ukishakuwa mtu wa marketing, taarifa hizi unatakiwa uwe nazo around, nikisema kichwani ntakuwa nakupa majukumu zaidi.
Ila atleast summary ya faida mliyotengeneza, assets vs liability, NPL.
DCM income yake kubwa anayoitegemea ni Interest, ukiona anaanza kulazimisha FDRs kwa namna hii anza kuwaza mara mbili juu ya future yake.
Kila kampuni in different industry inajaribu kutengeneza segment kwa customer na increase of market coverage ,lazima ije na mbinu ili ishindane kwenye soko, lakini mtu ana quote kwa mihemko u never learn like that a good customer hata akija lazima ataelewa taarifa zinavyokwenda the trend na vitu vyote
Yes. Nilichouliza ni kuhusu rates zake zikoje kwa sasa?Hati fungani kwa kingereza zinaitwa treasury bills zenyewe zinauzwa na BOT na zenyewe mnada wake huwa ni kila jumatano nahisi ya mwanzo wa mwezi hapa naweza rekebishwa na wateja wake wakubwa ni mabanks,watu binafsi na wawekezaji kutoka ndani ama nje na zimegawanyika katika za muda mfupi na mrefu na sikuzote zina Discount rate kwenye maturity
The future is unknown in this bank na sasa hivi market Risk iko very speculative the risk of high and lower interest haitabiliki hata juzi crdb kushusha riba yake kutoka 17%-14% ilitupa ukakasi ila tukaona alivyofanya segments tukamuelewaa
Unalizia za muda mfupi ama mrefuYes. Nilichouliza ni kuhusu rates zake zikoje kwa sasa?
Huyu jamaa hakuna kitu anajua katika financial market na associated RiskYaah uzuri in industry na competition challenges so kuna segments ambazo hata sisi kama bank pia zinafanyia kazi ,so kila kitu kinakuwa controlled
Vyote..... Nilitaka kucompare na hizo za DCBUnalizia za muda mfupi ama mrefu
Huyu jamaa hakuna kitu anajua katika financial market na associated Risk
Iko hivi treasury bills na fixed deposits siku zote fixed deposits zinakuwa na rate ndogo sana na Risk ya fixed deposit iko juu so kwenye primary market itakuwa ni around 8%-9% kwenye bid/offer rate,naweza kukoselewa kwenye hiliVyote..... Nilitaka kucompare na hizo za dcb
Duh! Maisha Aya bhanaLiabilities zilizidi assets, ikawa shida kulipa FDRs zilizo mature na obligations zingine.
Ilibidi BOT waingilie kati, na kwa sasa haipo.
Inbox!?!? 😍Maelezo nimeyaambatanisha na kipeperushi ila for interested na uwekezaji wa account iyo tuwasiliane inbox niweze kukusaidia kiukaribu na uhitaji wako
Ahsante Sana Mkulungwa.. Maana yake hii bank inapitia kipindi kigumu Sana. Sio fursa kama inavoonekana. Inawezekana hata survival yake ni ya mashaka. Hii ni bank inayoenda kufa kuweni makiniHii bank inashida na liability so kwa lugha ya kitalaamu kuna shida ya ukwasi so wanatafuta hela kuokoa jahazi bei ya fixed deposit kwa sasa ni 5-7%