DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

Yes hata ivyo ni sawa ,nlikuwa nmeiandika kwa mfumo wa formula
Mkuu ni 7% times 50m times 10% vat au 7% times 50m kisha tunatoa 10% vat (Ya kilichopatikana)?

Sorry sijaelewa hapo
 
Chief hatufanyi kubishana ila taarifa unazoziongea sio za kweli maana bank in industry ipo more than 20 years umeshaskia imeoperate under profit? Kuna uelewa bado hujaupata unaandika kwa mihemko hebu tulia halafu uelewe
Hapa hatuongelei habari za Products mtu makini anayetaka kuweka fixed deposit lazima angalie bank inaperform vipi kwenye soko siwezi kuwaleta lets say 1billion wakati bank yenu haijawahi kutengeneza hata faida ya 1billion sijui unanielewa vzuri
 
Ofcoz zinapatikana kwenye matawi yote, je na huduma zote zinatolewa kwenye matawi hata ww ukitembelea kwenye tawi unazipata
DCB mwaka jana alipata faida ya kiasi gani tupe tarifa za hali ya kifedha na mtaji hizi ni tarifa muhimu kwa mteja na ni mandatory ziwepo branch yoyote na huwa zinachapishwa kwenye magazeti according to Regulatory rules za Bank of Tanzania
 
Ofcoz zinapatikana kwenye matawi yote, je na huduma zote zinatolewa kwenye matawi hata ww ukitembelea kwenye tawi unazipata
Tuambie wewe ulileta hili Tangazo hapa unajua kwa hali ya sasa mtu akipoteza hela kuipata ni kazi so jamani kabla hujaweka hela zako kwenye bank yoyote nakushauri angalia banks ambazo ni Tier one bank na sio hizi community banks kwasababu Risk of loosing your money is huge
 
Hii ndo shida ya sales agents mimi banks nazijua sana kuliko unavyohisi so tupe majibu ya vitu hivi
BANKS BALANCE SHEET......
Liquidity Ratio
Impairment Ratio
Liability stance
Pamoja na market segement focus
Sawa kabisa na unaonekana unazijua sana sasa fika kwenye tawi ili upate taarifa ,
 
Tuambie wewe ulileta hili Tangazo hapa unajua kwa hali ya sasa mtu akipoteza hela kuipata ni kazi so jamani kabla hujaweka hela zako kwenye bank yoyote nakushauri angalia banks ambazo ni Tier one bank na sio hizi community banks kwasababu Risk of loosing your money is huge

Meru Community Bank wateja wake walijifunza hilo baada ya bank yao kufilisika.
 
Wanaowekeza wanajua fixed zikoje ila ww hujui ndo nimepitia machapisho yako yapo kwa heko sana ,jitahidi kuelewa kama industry basi kuna kitu bado kimemiss kdg lakini safi
Tuambie wewe ulileta hili Tangazo hapa unajua kwa hali ya sasa mtu akipoteza hela kuipata ni kazi so jamani kabla hujaweka hela zako kwenye bank yoyote nakushauri angalia banks ambazo ni Tier one bank na sio hizi community banks kwasababu Risk of loosing your money is huge
 
Bank ambayo balance sheet yake haifiki hata 250billion na non performing loans ni above 5% bank ambayo last time profit waliyopata kubwa ni 1.5billion tena before tax.Kama wewe ni muelewa unajua nini kinaendelea na kwa hii trend hii bank sidhani kama inaweza kumaliza hii miaka2 kwa maana gani
 
Unachukua hela kwa watu kwa Rate kubwaa ambayo ni above market ya sasa ambayo ni 5%_8% on fixed deposit then zina hela unazipeleka kwa watu kwa njia ya mikopo ambayo itakuwa ni above 14% ili upate faida sasa bank kubwa kama crdb na nmb wao wanakopesha watu kwa riba kuanzia 14%-17% nini maana yake anaekopa kwako atakopa kwa bei mbaya sana na ikifanikiwa kulipa mkopo wako atakuwa kaishafilisika na asipomaliza kulipa maana bank inakuwa inadaiwa hela na mteja na bank haina hela hii inawafanya BOT kuingia kazini na kuifunga bank so weww uliyepeleka hela izalishe kwa 14% unakuwa umepoteza hela yako na unasikini wako umeongezeka na watu kama hawa walioleta mada hana hela yake humo zaidi na Comission ambayo alikula kipindi anachukua hela kwako
 
Dalili mbaya hii, Bank M ilianza hivi hivi!
Yes hii scenario alianza nayo Bank M tukawambia watu leo hii wanashukuru na bahati ya Bank M alikuwa Cooperate na investment bank so effects kwenye uchumi zilikuwa kubwa ila hii community bank BOT hawafanyi merger ama acquisition inawekwa chini ya Bodi ya amana kwisha habari
 
Bank ambayo balance sheet yake haifiki hata 250billion na non performing loans ni above 5% bank ambayo last time profit waliyopata kubwa ni 1.5billion tena before tax.Kama wewe ni muelewa unajua nini kinaendelea na kwa hii trend hii bank sidhani kama inaweza kumaliza hii miaka2 kwa maana gani

Ratio of NPLs to total gross loans inachezea ngapi boss?
 
Unachukua hela kwa watu kwa Rate kubwaa ambayo ni above market ya sasa ambayo ni 5%_8% on fixed deposit then zina hela unazipeleka kwa watu kwa njia ya mikopo ambayo itakuwa ni above 14% ili upate faida sasa bank kubwa kama crdb na nmb wao wanakopesha watu kwa riba kuanzia 14%-17% nini maana yake anaekopa kwako atakopa kwa bei mbaya sana na ikifanikiwa kulipa mkopo wako atakuwa kaishafilisika na asipomaliza kulipa maana bank inakuwa inadaiwa hela na mteja na bank haina hela hii inawafanya BOT kuingia kazini na kuifunga bank so weww uliyepeleka hela izalishe kwa 14% unakuwa umepoteza hela yako na unasikini wako umeongezeka na watu kama hawa walioleta mada hana hela yake humo zaidi na Comission ambayo alikula kipindi anachukua hela kwako
Sema bado kuna kitu hakipo sawa yani kuelewa kwako ni mgumu kdg
 
Back
Top Bottom