Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
sio tu kubambikiwa bali amwibiwaKwa hiyo unamaanisha mzee Muro alibambikiwa mtoto?
sio tu kubambikiwa bali amwibiwaKwa hiyo unamaanisha mzee Muro alibambikiwa mtoto?
Usiwaze hakuna chama cha siasa strong hapo Tz kilichopo upinzani. Kama aliuliwa Kamanda Mawazo na risasi kibao kwa Lissu lakini chama kinaomba serikali ichuguze huoni kama ni ujinga na udhaifu uliovuka mpaka mkuu. Nakwambia bendera zote zitashushwaMkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.
Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.
Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.
"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro
Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Umepakwa ugoro "mndukuni"?Piga kazi Murro , hao wanafiki na watetezi wa Mafisadi chadema hatuwahitaji tena huku Arumeru.
Hata kama hana leseni wala kitambulisho Dc hakupaswa kufanya hivyoJe mfanya biashara huyo ana leseni ya biashara anayo ifanya? au kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali?kama hivyo na sifa nyingine za kufanya biashara hizo anazo basi Mh Dc atakuwa kakosea sana
Chokoraa huyoJerry muro ana wivu wa kike
Huyo ni mkwere kwao Msoga,si unaona ngenga zake!!!!Kwa hiyo unamaanisha mzee Muro alibambikiwa mtoto?
Kama ni kweli na ushahidi upo afunguliwe mashtaka kwani hiyo ni jinai na inaweza kuhatarisha amani iliyopo. Ubaguzi wa kijinga sana huu. Na kwanini mkuu wake wa mkoa hajamlima barua ya kujieleza?
Hujawahi kuwa akili tangu baba yako akosee kuvaa kondomu.Piga kazi Murro , hao wanafiki na watetezi wa Mafisadi chadema hatuwahitaji tena huku Arumeru.
Akina Muro na kundi lao watakufa kw pressure, hy ndio.madhara ya kuchukua nchi kwa nji za haramu. Bendera tu inmtoa mtu roho, hana amani, roho inamsuta kuona bendera ya chadema inapepea. Huo ukuu wa wilaya waliopewa na aliyewapa wote wamelaaniwa. Hii ni Laana inawtafuna.Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.
Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.
Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.
"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro
Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Huyu Muro ni kati ya wateule wa rais wavuta bangiMkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.
Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.
Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.
"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro
Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Kama ni kweli huu ni ulevi wa madaraka. Na nimemsikia Jerry Muro akisema kwenye luninga eti Arumeru wao wanampango maalum kwa makosa fulani, mkosaji hapewi dhamana. Nikajiuliza sana hivi yeye ndio mahakama!
Viongozi wa awamu ya 5 pasua kichwa !! Bendera zinamzuiaje kufanya kazi zake za ukuu wa wilaya ?!. Mungu aisamehe nchi hii, imetunukiwa viongozi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Africa . Ni kinyaa hasa [emoji107]
Tupe kifungu iko chakushusha benderaJery Muro yupo sahihi kabisa
Katiba ina loophole.
Inamruhusu kabisa.
Tena katiba yenu wenyewe na aliikuta
Hawa jamaa sometimes wanatufanya tumtende Mungu dhambi kwa kuwaza kuwafanyia mabaya,kila mfanyabiashara kina market fulani anaitarget,na yawezekana huyo mfanya biashara wateja anaowatarget ni wafuasi wa hiyo bendera,then anatokea mwendawazimu mmoja na siasa zake uchwara anakuja na ujinga wake,hapa nimeshawaza kuwa ningekuwa Mimi wakati dereva wake anashusha bendera Mimi ningekuwa shingoni mwake.anamaliza kushusha anakuta boss wake kichwa kimeshatenga na kiwili wiliAlikuwa na mlinzi au mwenyewe nazan kuna haja ya kuheshimiana
Kuna siku wakati watu wanapewa kesi wao watakuwa wanasingikizwa either pale kinondoni au kule migombaniMara nyingi viongozi wetu ndio walio mstari wa mbele kuharibu amani ya nchi kutokana na namna ya uongozi wao. Cha ajabu ni kwamba wao ndio wanaowaimbisha wananchi kuitunza amani, na wananchi kwa moyo wa dhati wanaitunza amani yao. Hivi huyo kijana angekataa kuishusha hiyo bendera amani ingekuepo? Ni wazi amani ingevurugika na mwisho wa siku angepewa kesi ambayo ingewashangaza wengi.