DC Muro Matatani kwa kushusha Bendera za CHADEMA Arumeru

Sasa hiyo chuga gani tena mtu na dereva anawashinda mbona wale wamama walikaza vitambulisho mpaka wanapewa na pesa.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
 
Sijui kwa nini hakufungwa kwenye ile kesi yake ya rushwa miaka ilee! Huenda tungeepukana na hii kadhia!
Alikimbilia ntwara, jinga hili, watu walisimama nae kumbe walisimama na kichaa, wangemuacha awekwe ndani tu.
 
Kama ni kweli huu ni ulevi wa madaraka. Na nimemsikia Jerry Muro akisema kwenye luninga eti Arumeru wao wanampango maalum kwa makosa fulani, mkosaji hapewi dhamana. Nikajiuliza sana hivi yeye ndio mahakama!
Kuna kichaa mmoja katika moja kati ya picha maarufu inayotumiwa na wafuasi wa sisim hapa forums.

Picha hii inamuonesha kichaa huyu aliye uchi kabisa akiichambia bendera ya chadema huku pembeni kikionekana kifusi cha kinyesi mujarabu cha mtu aliyeshiba vizuri.

Nadhani kama si wendawazimu walifanya kazi ile basi lazima watakuwa ni wafuasi wenye roho kama ya huyu bwana na hao wanaoitumia picha hiyo basi itakuwa inawafurahisha kweli kweli.

Hizi ndizo sera za chama chetu tawala za sisim zinazoendelea kushika kasi.
Nadhani si uongozi unaotafutwa hapo.

Labda tuwaulize ili waweke wazi katika sera kama hizi ni nini hasa lengo lao
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Nchi hii wapinzani wanahesabika ni maadui wa taifa,siyo wazalendo na hivyo wanaporwa haki zao nyingi.Tatizo tuliingia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa kushurutisha na mataifa ya magharibi.Kuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa ni afya kwa taifa.Bila vyama vya upinzani tusingeyaona maendeleo tunayayaona.Kungekuwa na miungu watu nchi hii,japo bado wapo kama akina Jerry Muro.Upinzani usichukuliwe kama uadui.Nimempenda sana rais Uhuru Kenyata wa Kenya anafanya kila jitihada kuhakikisha kwamba wananchi wake bila kujali itikadi zao za vyama wanakuwa taifa moja.
 
kazi za kupewa ndivyo zilivyo, lazima ujitahidi sana kumfurahisha aliyekusaidia.
 
Alikuwa na mlinzi au mwenyewe nazan kuna haja ya kuheshimiana
Hata kama mlinzi alikuwepo kwangu Mimi angerudi akiwa hana meno ya Mbele,huo ujinga siwezi kuuvumilia kwa kuwa watafika kuniambia sasa hata mke wangu nilale nae wakati gani
 
Tulikuwa tunamezeshwa kwamba sisi wa Kaskazini tuna misimamo sana kumbe kati yetu kuna viazi vingi tu kama Jane Muro
 
Piga kazi Murro , hao wanafiki na watetezi wa Mafisadi chadema hatuwahitaji tena huku Arumeru.
Ni kweli akili kila mtu ana zake lakini sio akili kukubaliana na kuweka utaratibu wa vyama vingi halafu utumie mamlaka uliyopewa kuuharibu. Watu watschukua hatua siku si nyingi na hiyo itakua ni kibiriti cha kuchomea kote unyanyasaji wa kijinga wa kisiasa umefanyika. Fikiria wangeanza nae Arumeru kwingineko ingekuaje?? Ninsuala la muda amani inayosifiwa itakua historia. Waoga wakiamua utawapenda
 
Mtafika mmejificha kweli nyie majuha jitokezeni hadhari myaseme haya watu tuwaunge mkono lakini wa kutumia majina fake humu mnajidanganya hamfiki kokote,shit holes
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Here say threads ndizo hatuhitaji kwa sasa nyie ma-cdm bwana mie nilijua umeshuhudia
 
Back
Top Bottom