DC Muro Matatani kwa kushusha Bendera za CHADEMA Arumeru

Hata alipokuwa msemaji mkuu wa klabu ya Yanga jamani hamukumuona kuwa matamshi yake yalikuwa yanakosa maadili ya Kitanzania mpaka anamudhiaki mwenzake wa Simba Manara kuwa ni muremafu wa ngozi.Mwanasalusafa wa Uingereza Shakespear alisema hivi ''The apparel proclaims the Man'' yaani mapambo (decorations)/mavazi /maadili ya mtu ueleza ni mtu wa aina gani
"UVAAJI humtambulisha mtu"
 
Kama ni kweli huu ni ulevi wa madaraka. Na nimemsikia Jerry Muro akisema kwenye luninga eti Arumeru wao wanampango maalum kwa makosa fulani, mkosaji hapewi dhamana. Nikajiuliza sana hivi yeye ndio mahakama!
Huenda yeye ndiye anatoa maagizo kwa Mahakama juu ya nini ifanye..
 
Hao ndio wenye nchi! Ndio wazalendo! Ndio wenye uchungu! Ndio watetezi Wa wanyonge na ndio WATANZANIA halisi!
 
Like farther like son!
Viongozi wa awamu ya 5 pasua kichwa !! Bendera zinamzuiaje kufanya kazi zake za ukuu wa wilaya ?!. Mungu aisamehe nchi hii, imetunukiwa viongozi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Africa . Ni kinyaa hasa [emoji107]
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Mara nyingi viongozi wetu ndio walio mstari wa mbele kuharibu amani ya nchi kutokana na namna ya uongozi wao. Cha ajabu ni kwamba wao ndio wanaowaimbisha wananchi kuitunza amani, na wananchi kwa moyo wa dhati wanaitunza amani yao. Hivi huyo kijana angekataa kuishusha hiyo bendera amani ingekuepo? Ni wazi amani ingevurugika na mwisho wa siku angepewa kesi ambayo ingewashangaza wengi.
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Jerry muro ana wivu wa kike
 
Mkuu acha watese zamu yao hii. Itakuja zamu ya wengine ni suala la muda tu. Siku hazigandi na namba hazijawahi kudanganya. Walakini heri wale viongozi wenye hekima, kwa kuwa wanatenda haki na hata ijapo zamu ya wengine, nafsi zao zitastarehe...
 
Huyo mwenye bendera yake kwa nini asingetafuta hata kombeo
 
Huyu jamaa anachokitafuta Meru atakipata muda si mrefu!!
 
Back
Top Bottom