DC Muro Matatani kwa kushusha Bendera za CHADEMA Arumeru

Kizazi hiki hakina wakina Mwamwindi wa kuchukua maamuzi magumu ili tuheshimiane? Nadhani akilala mmoja wengine watashika adabu na kuacha ubabe uchwara na wa kijinga kama huu
 
Pl
Piga kazi Murro , hao wanafiki na watetezi wa Mafisadi chadema hatuwahitaji tena huku Arumeru.
Lumbar
Pumba.vu sana hilo jitu na mashabiki wake. Bendera ya cdm ndo iliyosababisha ajali ya majeruhi waliopo seliani? Mtu mzima unakimbizana na kitambaa kinachopepea badala ya kuhangaika na mambo ya msingi?
 
hawa wakuu Wa wilaya vijana wanatuangusha sisi vijana wenzao sana. kwa kufanya kazi ni kwa kuvunja sheria tu. inasikitisha sana...
Lakini mbona matukio haya ya kijinga ni awamu hii tuu? Wapo wengine walikuwepo kutokea awamu ya nne lakini hawakuwa mabwege kama walivyo sasa kwa nini? Hiyo ni ishara kuwa kiongozi wa awamu hii ndiye ana wasukuma kuleta huu upumbavu kwa kasi ya ajabu.
Ndio maana nasema kizazi hiki hakina watu kama Mwamwindi wa Iringa wa enzi zile ambaye baada ya kuletewa dharau na RC alitenda jambo ambalo limeandikwa kwenye historia ya nchi kuhusu viongozi wasio heshimu raia walikuwa wanafanywaje
 
Kama sio kwenye Tawi la chama linalotambulika kuwa ni tawi basi bendera haipaswi kuwepo
 
Kipindi kisicho cha kampeni bendera haiwezi peperushwa mahali popote
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Avatar yako inaonyesha wewe ni mtumwa wa akili
 
Kama ni kweli huu ni ulevi wa madaraka. Na nimemsikia Jerry Muro akisema kwenye luninga eti Arumeru wao wanampango maalum kwa makosa fulani, mkosaji hapewi dhamana. Nikajiuliza sana hivi yeye ndio mahakama!
Hakumaanisha mahakama unayoijua mkuu..niishie hapo
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Ndio kazi maalumu waliopewa hiyo ngoja tuone muda utasema
 
Msajili jaji mutungi bado yuko kimya?
 
Je mfanya biashara huyo ana leseni ya biashara anayo ifanya? au kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali?kama hivyo na sifa nyingine za kufanya biashara hizo anazo basi Mh Dc atakuwa kakosea sana
Mkui, Kama ni Issue ya Leseni angedaiwa leseni. Kwa hiyo kama hana leseni basi hana haki ya kuamua apende chama gani? Mambo tunachanganya mambo!!! Hivi a rule of law maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom