DC Muro Matatani kwa kushusha Bendera za CHADEMA Arumeru

Hata alipokuwa msemaji mkuu wa klabu ya Yanga jamani hamukumuona kuwa matamshi yake yalikuwa yanakosa maadili ya Kitanzania mpaka anamudhiaki mwenzake wa Simba Manara kuwa ni muremafu wa ngozi.Mwanasalusafa wa Uingereza Shakespear alisema hivi ''The apparel proclaims the Man'' yaani mapambo (decorations)/mavazi /maadili ya mtu ueleza ni mtu wa aina gani
 
Hongera sana Muro,wacha shetani azidi kuwapa kiburi, mbunge mmejitangazia, vifuani mwa watu kuna mengi IPO SIKU YAJA.Sina hakika mna amani,furaha miiloyoni na maishani mwenu.
 
Ningekuwa mm nisingeshusha bendera kama noma wacha iwe noma!
Hii nchi sio mali ya MTU,wote tumeikuta na wote tutaiacha!!
 
Tuko sahihi kabisa huu ni muda wa kupiga kazi sio muda wa kufanya siasa.
Huu ni utaahira
tapatalk_1554549593503.jpeg
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
Hivi bendera hiyo ingekuwa ya CCM ingeshushwa?
 
Mnawaendekeza wenyewe. Mimi spo either afe yeye au mimi.
 
Tuko sahihi kabisa huu ni muda wa kupiga kazi sio muda wa kufanya siasa.
Kwahiyo Bendera zote za vyama zishushwe..lakini pia na bendera ya Taifa ishushwe maana ni alama ya kisiasa!
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta zikipepea kwenye maeneo ya biashara zilizosimikwa na wapenzi wa chama hicho.

Mapema leo Muro wakati alitoka kuangalia majeruhi wa ajali katika hospital ya Selian ,Ngaramtoni,alifika katika Duka moja la mfanyabiashara wa Makochi na alipoiona Bendera ya Chadema ikipepea aliamuru Dereva wake asimame na kuifuata bendera hiyo.

Alipofika Muro alimwamuru mfanyabiashara huyo wa Makochi ambaye hakufahamika jina lake Mara moja, aamue moja kufanya biashara ama kuendeleza siasa ,Hata hivyo kabla ya kijana huyo kujibu alimtaka ashushe bendelea hiyo Mara moja.

"Arumeru hii si ile ya zamani msinijaribu lazima tuheshimiane chagua moja kazi ama siasa" Alisema Muro

Jambo hilo liliwashangaza wananchi mbalimbali waliokuwepo eneo hilo huku ikielezwa kuwa linaweza kuleta mtafaruku wa kisiasa kwa hatua yake ya kushusha bendera za Chadema huku za CCM zilizopo vijiweni kwenye biashara akiziacha ziendelee kupepea.
ingekuwa huku mtaani kwetu angeshakula jiwe toka kusikojulikana
 
Hongera sana Muro,wacha shetani azidi kuwapa kiburi, mbunge mmejitangazia, vifuani mwa watu kuna mengi IPO SIKU YAJA.Sina hakika mna amani,furaha miiloyoni na maishani mwenu.
Kwa sasa wanafanya siasa kibabe Kala ugoro
 
Sijui kwa nini hakufungwa kwenye ile kesi yake ya rushwa miaka ilee! Huenda tungeepukana na hii kadhia!
 
Jery Muro yupo sahihi kabisa

Katiba ina loophole.
Inamruhusu kabisa.
Tena katiba yenu wenyewe na aliikuta
 
Back
Top Bottom