DC Arumeru atoa siku 3 bendera za CHADEMA zishushwe wilayani kwake

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo.

Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi.

Amesema hayo leo hospitalini alikokwenda kuangalia majeruhi wa ajali.
(mod acha uzi huu tafadhali)
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo. Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi. Amesema hayo leo hospitalini alikokwenda kuangalia majeruhi wa ajali.
(mod acha uzi huu tafadhali)
CCM ita baki tu kuwa juu, juu kileleni, MAWINGUNI......
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo. Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi. Amesema hayo leo hospitalini alikokwenda kuangalia majeruhi wa ajali.
(mod acha uzi huu tafadhali)
ati nini? Wilaya yake? Anatumika kutuhamisha kwenye hoja za moto huyu na halina tija hilo!
Hebu pandisheni thread za mjadala wa ripoti ya ofisi ya cag huko mjengoni na ile ya imf nimalizie pasaka miye!
 
Jerry ni kijana ajue tu mZee baba ana miaka 6 atakuwa out of power, maisha yataendelea, Kama yuko upande wa mfumo asijisahau kabisa mana kesho na kesho kutwa upepo unaweza kumbadilikia, Huyo DC ningekuwa arumeru afu mwajiliwa wake kuna siku tu ningemzingua na kuacha kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom