Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,581
Kichwa cha chini we kiskie tu mngepewa nyie nadhani msingetulaumu hapaIla wanaume watafika mbinguni wamechoka, ukute huyo ni Baba ako au mjomba ako unamsalimia Kwa heshima tena Kwa magoti....halafu huko mtaani kuna kidada kinamkunja hadharani ukute alimstua na makonzi kidogo.