DC mstaafu ang'ang'aniwa na mchepuko, vurugu zaibuka hospitalini

Zidisha maombi binam,
Sema Nini, Mambo ya mahakamani sio ishu kabisa.

Nachukua TU mtoto, aendelee na masmisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchukuaje kwa mfano...sio rahisi kihiivyo. Yani ukikosea tu huo ni mziki wako wa maisha maana miaka 18 (najua mtasema miaka 7 ila hii inatagemeana na mazingira ya mama mwenye mtoto) sio michache binam.
 
Unachukuaje mtoto akaishi na mama wa kambo wakati mama yake niko hai...Best interest of the child lazima izingatiwe... hapo sijaongelewa akiwa under 7 ambayo ni lazima awe na mama kama Ana akili timamu
Ndio utajua hujui sasa atakaa nae

Legally a child has a right of living with his/her own parent(s). This right is clearly provided for under the Law of the Child Act, Act No 21 of 2009.

Ila sasa If you have sole physical custody, also known as, the primary custodial parent, unaweza mchukua mtoto kwa mama yake kitu ambacho mtu kama D.C lazima awe favoured afanyiwe upendeleo

Hapo bado sijaongea na judge pembeni kama mimi D.c plus power na influence niliyonayo
 
wajinga sanaYaani mi nakwambia nina mke sitaki mtoto unanitegeshea ***** nakataa hiyo mimba na kulea silei na hakuna kitu unanifanya na akienda mahakamani anakuta nishafanya mgawanyo wa mali kwa watoto wangu
Hahahahaha wala hupelekwi mahakamani maana hatukukutana mahakamani...
Usitawi na mahakama ni mimi mwenyewe..
Utalea baba labda niamue tu kukupotezea
 
Ndio utajua hujui sasa atakaa nae

Legally a child has a right of living with his/her own parent(s). This right is clearly provided for under the Law of the Child Act, Act No 21 of 2009.

Ila sasa If you have sole physical custody, also known as, the primary custodial parent, unaweza mchukua mtoto kwa mama yake kitu ambacho mtu kama D.C lazima awe favoured afanyiwe upendeleo

Hapo bado sijaongea na judge pembeni kama mimi D.c plus power na influence niliyonayo
Unajua kitu kinaitwa "best interest of the child" kama kilivyoongelewa kwenye hiyo sheria??? Yani mtoto anapelekwaje kuishi na mama wa kambo kama mama yake mzazi bado yuko hai, sio kichaa na mazingira yake ni mazuri kwa makuzi na malezi ya mtoto??? Mi hyo sheria ya mtoto ya mwaka 2009 niliwahi iandikia mkuu...
 
Au sio .

Sidhani kama umeisoma au umeiandika ngoja nikueleweshe bibie nakadori

Iko hivi

Ukisema interest of child kwa maana ya manufaa ya mtoto hata kama mzazi wa kike upo hai lakini mazingira yake sio salama au anapoteza sifa kadhaa za kutunza mtoto .. hivyo basi kwa ajili ya well being ya mtoto mahakama inakupokonya

Sasa akiwa mtu mwenye power kukuharibia wewe credibility ya kuwa sole custody wa mtoto ili ashinde kesi hata kama wewe ni mama ni dakika ziro

Sana sana kama atakuwa ni mdogo utamunyonyesha kwa uangalizi na utaratibu maalum vile vile kumuona
 
Ukisoma vizuri nimeweka pia hizo conditions.....ndo maana nkamjibu mzabzab kwamba mnawakazia hao hao wadada wa watu wajinga. Ila kwa mtu kama mm unaninyang'anyeje mtoto wangu?? Sio kichaa, sio mlevi, mazingira yangu yako salama kwa makuzi ya mtoto... asee hyo kesi isingeisha labda umtorosheee hukoooo na hapo ningeuza chochote ninachomiliki nijue mwanangu ulipompeleka
 
Sasa hapo dawa zenu nikugawa mali kwa watoto wangu legally kabisa kwenye ndoa mimi nisimiliki chochote

Halafu tuone utafaidika vipi na matunzo sitoi na polisi nipeleke tuone kama watanifunga
 
Sasa ww uchepuke mwisho uonee kiumbe kisicho na hatia?? Si laana unajiongezea
 
Malipo ni duniani, tatizo michepuko inajisahaulisha hii kanuni "usimzalie mume wa mtu"
Kwa mkewe akimbie mikojo, akija kwako tena akutane na mikojo...atakukimbia tu, huna uspesho huo!
Halafu mama mijengo tumekaa kikao tumeazimia kuwa hata wachepuke hatuondokii...🤣 Evelyn Salt
ukitoka ni unaenda tu dukani na kurudi 😁😁😁
 
Malipo ni duniani, tatizo michepuko inajisahaulisha hii kanuni "usimzalie mume wa mtu"
Kwa mkewe akimbie mikojo, akija kwako tena akutane na mikojo...atakukimbia tu, huna uspesho huo!
Halafu mama mijengo tumekaa kikao tumeazimia kuwa hata wachepuke hatuondokii... Evelyn Salt
Hii comment ifanyiwe lamination ibandikwe kwenye jukwaa la MMU pale juu kabisa ili kila mchepuko uisome
 
Back
Top Bottom