DC mstaafu ang'ang'aniwa na mchepuko, vurugu zaibuka hospitalini

Ila wanaume watafika mbinguni wamechoka, ukute huyo ni Baba ako au mjomba ako unamsalimia Kwa heshima tena Kwa magoti....halafu huko mtaani kuna kidada kinamkunja hadharani ukute alimstua na makonzi kidogo.
Kichwa cha chini we kiskie tu mngepewa nyie nadhani msingetulaumu hapa
 
Daah ila nawashangaa wadau

We ukijijua una vijisenti na wanawake wa siku hizi njaa kali we tumia kinga tu always au hakikisha anakunywa p2 kabla hujamla akikataa piga chini utaepuka kesi za kupewa mimba sio yako au kutegeshewa


Kikubwa zaidi kuzaa na wapumbavu
 
Namchukua mwanangu tu na hivi ni d.c Nina power bado na watu wangu kesi ya custody ya mtoto nashinda we nakuacha na njaa hata ela yangu hugusi


Sema wachepukaji wengi hawana akili ya kuji linda
Unachukuaje mtoto akaishi na mama wa kambo wakati mama yake niko hai...Best interest of the child lazima izingatiwe... hapo sijaongelewa akiwa under 7 ambayo ni lazima awe na mama kama Ana akili timamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom