DC mstaafu kuishitaki serikali.

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Huyu DC mstaafu unamchukuliaje baada ya kuchukua uamzi huu?
IMG-20230531-WA0008.jpg
 
Sioni sababu ya kufanya hivyo,kwa level yake ya utumishi kama kweli alikuwa competent sidhani kama angekosa kazi..........but amethubutu mahakama ipate reference.......na ni muda wa Chawa kumuharibia kama kuna mishe aliinvest
 
Nje ya Box hii
 
Back
Top Bottom