DC mstaafu ang'ang'aniwa na mchepuko, vurugu zaibuka hospitalini

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Private
 

Attachments

  • IMG_20220207_151155_660.JPG
    IMG_20220207_151155_660.JPG
    45.7 KB · Views: 96
  • IMG_20220207_151357_539.JPG
    IMG_20220207_151357_539.JPG
    53 KB · Views: 93
  • IMG_20220206_183614_749.JPG
    IMG_20220206_183614_749.JPG
    82.6 KB · Views: 101
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Peter Kiroya Toima amejikuta katika wakati mgumu baada ya mwanamke anayetambulika kwa jina la Scolla Mollel anayedaiwa kuwa ni nyumba ndogo yake kumng'ang'ania nje ya hospitali ya St Thomas iliyopo jijini Arusha.

Tukio hilo la kushangaza lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo mwanamke huyo alionekana kumkunja shati DC huyo mstaafu aliyetumikia
Huyu mchepuko yupo vizuri
 
Back
Top Bottom