DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa

Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.

Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Duh hongera Mwanahabari Huru naona mambo yametimia. Hata wale waliokubeza kuhusu hii post wamejificha! Big up JF
 
S

So why?
 
Mmmh!
Lolote la Ukweli na Uhakika likisemwa basi ujue lipo na kama halipo basi linakuja.
Baada ya Mrisho Gambo kuikamilisha ile 'Kazi' aliyotumwa pale Arusha, hatimaye leo kapewa zawadi yake.

Hongera Mrisho Gambo, lakini ukumbuke pia, muosha pia huoshwa. Magessa Mulongo alifanya kama yako wewe Mrisho, na akavuna matunda mazuri kwa muda mfupi, lakini baadaye naye akatumbuliwa tu kama Jipu.
 
Teh teh teh teh
Naona taa nyekundu inamuwakiwa Zungu pale ilala 2020 ajiandae kusitafu ubunge maana uchaguzi uliokwisha kaponea tundu la sindano, tuombe uzima.
 
Fitina na majungu katika uongozi ni aina ya rushwa pia. Unapomfitini mwenzako ili upewe wewe ni sawa na kula rushwa ili upitishwe wewe. Kwa taarifa hii ya mwanahabari huru ni wazi kabisa hujuma imefanywa na dc kwa rc, laana itamtafuna kokote atakapoenda.
 
Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa

Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.

Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Hatimaye imetimia
 
Back
Top Bottom