DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

Ameshapigwa chini awe na Amani sasa
Ingawa kweli mkuu wa mkoa alikuwa sio mwajibikaji
 
Du..watu wanajua kutabiri...ebu nitaborieni na mimk lini utakuwa uteuzi wangu?
 
.....
.....
.....

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
....
Kwahiyo anamaanisha kua CHATO ni sehemu ya Mateso au??
Yaani sehemu anayotoka Rais huyu jamaa anaiona kua ni sehemu ya mateso kwa wafanyakazi wabovu kupelekwa???
Braza Magu tumbua huyu mtu kabla hajakabidhiwa, hawezi kukudhalilisha hivi kwa kuita Chato kua sehemu mbaya yenye kufaa kuwaadhibu watumishi
 
Ni vigumu, .. kuelewa
 
Kwani gambo ni nani bana, mbona makonda nae katulizwa dar na kila 1 anachapa majukumu yake, gambo hawezi kupinga au kukataa mambo ya maendeleo kama mbunge wa upinzani atashauri au ataleta, mpinzani mwingine yupo china kununua vitanda kwa hospital ya jimbo lake kwa pesa zake, sasa huyo gambo atazuia visiingizwe hospitalini?
 
Kwa vile upande huo mko kuhujumiana hujumiana basi mnadhani kila kiongozi anahujumu au kuhujumiwa.

Acheni siasa za maji taka Arusha rudini kwenu Moshi.
 
Back
Top Bottom