DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Hahahahha Serikali ya Magufuli haina SIRI kabisa tutajua mengi sana mwaka huu....
 
Vyombo vetu vya habari TZ ni dhaifu, wangelikuwa wanajaribu basi wangefanya japo exclusive interview na jamaa wa tiGO kanda ya Ziwa aliyeukataa uDC ni wazi ingetusaidia kujua nani waelewa na wasioishi kinafiki nchi hii.

kwa kifupi tz hakuna wanahabari. ni machoko tu!
 
Naona imejibu. Rais mtu anajisifu kabisa siku si nyingi atakuwa Mkuu wa Mkoa na wewe kweli unamteua.hii mbona Kali ya mwaka.Usalama wa taifa siku hizi wanafanya kazi gani? Aisee nimekosa majawabu.
 
Uteuzi wa aina hii unaweza kuathiri utendaji kwa wengine.
Siyo unaweza ni dhahiri wateule wa rais kwa sasa kila mmoja awe makini manake inavyoonekana rais utendaji wake wa kuwapata wasaidizi wake una udhaifu mkubwa sana.wewe mtu mpaka anawambia wananchi Mimi ndio nitakuwa mkuu wa Mkoa uliwahi kuona wapi hii Kitu? Na kweli baada ya wiki 2 Rais anamtangaza kuwa MKuu wa MKoa.
 
Ni kweli mkuu, hili ni tatizo
 
Ujifunze kuweka akiba ya maneno
Kuna jamaa nilimaliza naye O level yaani alikuwa kilaza wa darasa, hata kujua kusoma na kuandika kwa lugha ya kiswahili alijua tukiwa form 3,lkn leo ni katibu wa ccm wilaya moja siwezi kuitaja. Hao ndio viongozi wa ccm, unategemea awaze nini zaidi ya tumbo lake!?
 
Naona imejibu. Rais mtu anajisifu kabisa siku si nyingi atakuwa Mkuu wa Mkoa na wewe kweli unamteua.hii mbona Kali ya mwaka.Usalama wa taifa siku hizi wanafanya kazi gani? Aisee nimekosa majawabu.
Ndio hao hao waliomtonya Gambo kuwa ataukwaa u CR
 
Back
Top Bottom