Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,118
Rudi changia tena mkuuUchonganishi huu, lete Audio uliomrecod kuweka ushaid zaidi zaid itakua majungu

Kama yapo yametokea!!Du kumbe kweli yasemwayo yapo kama hayapo yaja!
Zungu si aliponea chupu chupu kwa yule muhindi kwani ni kwa Gambo??Teh teh teh teh
Naona taa nyekundu inamuwakiwa Zungu pale ilala 2020 ajiandae kusitafu ubunge maana uchaguzi uliokwisha kaponea tundu la sindano, tuombe uzima.
Duh! Nimeishiwa nguvu kabisa! Kweli kama ndio hivi sijui jipu ni lililotumbuliwa au lililoota!..........................................................................
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Nazungumzia kura ya maoni mkuu ndani ya chama chaoZungu si aliponea chupu chupu kwa yule muhindi kwani ni kwa Gambo??
Haya hao watumishi wajiandae kuhama. Hapa inaonesha dhahiri huyu jamaa alienda kuchonga kwa dikteta na yeye akamwambia usijali dogo, nitamfukuza mwenzako then wewe utakalia kiti chake.Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa
Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
You are a living legend!!Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa
Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Baada ya siku 15Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa
Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Ujifunze kuweka akiba ya manenoMtoa post nadhani anatumiwa na Lema kumchafua DC ama kutaka kuwachonganisha DC na RC kwa maana hakuna kitu kama hicho hapa arusha.
na watu ni wale waleNimethibitisha CCM ni ile ile
usitegemee magufuli aje abadili mfumo never everNimethibitisha CCM ni ile ile
Yaani mpk raha!Duh hongera Mwanahabari Huru naona mambo yametimia. Hata wale waliokubeza kuhusu hii post wamejificha! Big up JF
Hahaha.. Utakuta ni mfuasi mkubwa tu wa upande ule ila hajui kinachotokeaUjifunze kuweka akiba ya maneno