DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,412
DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo.

2. Sijui historia yako. Lakini ninaamini ukiwete ulionao unasababu za msingi kama ulizozitaja kwamba utawageuza wengine wawe kama wewe.

3. Bila shaka ukiwete ulionao, aliokufanya hivyo ulikuwa unadai haki au jambo muhimu sana ndio maana akakufanyia hivyo. Na ndio maana uko hivyo.

4. Unaonekana unajivunia kuwa kiwete ndio maana unataka wengine uwafanye kama ulivyofanywa.

5. Naamini watu wako wa karibu wanajivunia hali yako ndio maana unataka uwafanye watu wa wengine viwete ili wazazi wao, wake na waume zao na watoto wao wajivunie kubwa na viwete utakaowageuza wewe wakidai haki. Zao.

6. DC magoti, wewe ni kiwete japo ni lugha ambayo sio nzuri kuitumia kwa watu waungwana lakini kwa vile wewe mwenye hali hiyo huoni shida kuitumia acha nami niitumie. Baada ya kutumia neno mlemavu wa miguu au macho au kibiongo kama chako kilichotenguliwa, Zeruzeru badala ya mlemavu wa ngozi
Tutatumia maneno hayohayo makali uliyoyaleta wewe.

7. Mungu alikupiga ukawa kiwete badala utumie muda mwingi kuomba Rehema zake na kuwa wakili mzuri kuhamasisha Haki na amani unatishia watu wazima kuwafanya wawe viwete. Really! Watu wanaodai haki zao.

8. Wewe na wenzako ambao miaka nenda rudi mlitengwa na jamii zote duniani. Wenye haki walipambana na mpaka kesho tunapambana kwaajili ya watu dhaifu au wanyonge wapate haki zao. Leo wewe unawauia wenzako wasipambane kwaajili ya mambo wanayoyaona ni haki kwao. Kweli? Na unaona ni sawa?

9. Hivi unajua wewe ungetakiwa kuuawa tangu ukiwa kichanga kutokana na hali yako hiyo, sio wewe tuu na wenzako wenye ulemavu mwingine. Labda hujui. Lakini watu wachache walipambana kufa kupona ili wewe kiwete na wengine wenye mahitaji maalum mpewe haki sawa kama wale waliozaliwa wakiwa na majaliwa zaidi yenu. Lakini wewe hilo umelisahau.

10. Ni bora jambo hilo waongee wengine wasio na hali kama yako tutasema hawajui hali za unyonge lakini hali uliyonayo wewe haikuruhusu kuwaonea wanyonge wengine bali inatakiwa uitumie kuwapigania wanaodai haki zao kama wewe ulivyopiganiwa.

11. Baadaye unasema ulikuwa unatania. Unamtania nani kwenye mambo serious.
Badala uombe msamaha unarahisisha ulikuwa unatania. unatania kuwafanya watu kilema.
Unafikiri ukilema ni jambo dogo sio?
Unafikiri ukilema ni jambo la kuletea matani.

12. Watu wakimuita mtu Zeruzeru au sope mtu mwingine kwa utani sisi wengine inatuumiza. Sembuse kumtania mtu kumgeuza kiwete au mlemavu. Really

13. Unasema utawageuza viwete unafikiri walioviwete sasa hivi wanajisikiaje? Huna hata akili ya kufikiri maneno yako yanaathari gani kwenye jamii. Huna adabu.

14. Hayo machafuko yakitokea wewe unauwezo wa kufanya nini. Au unafikiri machafuko yakitokea utabaki kuwa DC sio, unafikiri hao walinzi watakuwa wanakulinda wewe sio, waache kulinda viongozi wakubwa wakulinde wewe. Magoti wewe ni kiongozi mdogo sana.
Lakini hata ungekuwa kiongozi mkubwa bado haikuwa hekima na uungwana kuongea maneno uliyoyaonge.

15. Unashindwa kuongea kiungwana. Kwamba jamani watu wakapige kura, wale wanaohitaji reforms wawe wavumilivu serikali inafuatilia madai yenu. Na ninwaahidi serikali ni sikivu na itafanya yale yaliyo ndani ya uwezo wake kutimiza haja za wananchi wote wa nchi hizi.

16. Wewe unatishia watu tena kwa maneno ya ajabu ajabu. Wewe ulifikiri watu wote wanaogopa vitisho. Ingekuwa hivyo mbona wanaotekwa au kuuawa wasingekuwa wanajitokeza kila siku.

17. Viongozi wako wa juu tuu hawana huo ujasiri wa kipumbavu kuongea mashudu uliyoyaongea.
Coz wanajua impact yake.

18. Unasema utafanya watu vilema. Unafikiri wewe na hao wenzako mnamiili ya chuma isiyoweza kudhurika? Tumia Akili.
Usichochee vurugu kwa kuleta maneno makali. Maneno mabaya huchafua roho na nafsi.
Roho na nafsi vikichafuka unafikiri mwili utajali?

19. Haya sasa kipimo unachopima utapimiwa zaidi. Mbaya zaidi unaathiri mpaka wengine wasiohusika wenye hali kama yako.

20. Omba msamaha maana najua watanzania bado hawajachafukwa vilivyo ingawaje cheche zinaonekana.
Sio uwaone kama watoto wadogo ati unawatania.

Ijumaa Kareem!
Nawatakia maandalizi mema ya Habari.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ni huzuni sana kwakweli, viongozi wetu wakishapata madaraka huwa na kauli ambazo sidhani kama wanafikiria kabla ya kuongea.

Ukosefu wa Hekima.
Mtu anashindwa kuongea kwa utulivu anahaki anababaika.

Nilifurahi kumsikia RC Chalamila akiomba msamaha kwa niaba ya serikali kwenye changamoto ya mwendokasi. Aliongea kama kiongozi mwenye nguvu.
Maana kiongozi akianza kutisha watu hasa watu wake wenye madai fulani anapoteza nguvu ya kuheshimiwa na kuogopwa
 
Haka kapumbavu kuna siku kataingia tu kwenye line watu watakafinya kale kakibiongo kake kama vile tunavyoshikilia maziwa ya madem zetu mermermermae .

Huyo asijibiwe , aachwe aendelee kutuongezea sababu ya kwanini anapaswa kufukuliwa mtaro .

Halafu kanavyoniamini sasa dah! Utadhani karobot 🤣🤣
 
Anachoongea ndicho Chama chake na wakubwa wake wanapenda kusikia na kuona yakiwakuta wadai haki wanaotaka kunyea jiko.

Kipande Cha mfumo hutapika stock iliyopo kwenye mfumo.
Magoti ni Mona ya kttendea kazi tu.

Na mwisho wa mawindo Dogi haina thamani.
 
Dc Magoti kazingua..kwanza nashangaa mpaka sasa hawajamuweka ndani kwa kauli ya uchochezi...uchochezi unakuja kwa kuwajaza watu hasira zaidi ili walete machafuko huku yeye akidhani anawatishia..Aombe radhi mara tatu kakosea sana hzo sio sifa katika sifa za uongozi tena zaidi kipindi ambacho watanzania moyo wao unavuja damu...
 
Punguza mboyoyo subiri hiyo tarehe 29 utoke hizi zingine mbwembwe tu , kwanza watu kama nyie ndo siku hiyo mnaweka bundle masaa 24 mmejifungia ndani mnachungulia mitandaoni
 
DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo.

2. Sijui historia yako. Lakini ninaamini ukiwete ulionao unasababu za msingi kama ulizozitaja kwamba utawageuza wengine wawe kama wewe.

3. Bila shaka ukiwete ulionao, aliokufanya hivyo ulikuwa unadai haki au jambo muhimu sana ndio maana akakufanyia hivyo. Na ndio maana uko hivyo.

4. Unaonekana unajivunia kuwa kiwete ndio maana unataka wengine uwafanye kama ulivyofanywa.

5. Naamini watu wako wa karibu wanajivunia hali yako ndio maana unataka uwafanye watu wa wengine viwete ili wazazi wao, wake na waume zao na watoto wao wajivunie kubwa na viwete utakaowageuza wewe wakidai haki. Zao.

6. DC magoti, wewe ni kiwete japo ni lugha ambayo sio nzuri kuitumia kwa watu waungwana lakini kwa vile wewe mwenye hali hiyo huoni shida kuitumia acha nami niitumie. Baada ya kutumia neno mlemavu wa miguu au macho au kibiongo kama chako kilichotenguliwa, Zeruzeru badala ya mlemavu wa ngozi
Tutatumia maneno hayohayo makali uliyoyaleta wewe.

7. Mungu alikupiga ukawa kiwete badala utumie muda mwingi kuomba Rehema zake na kuwa wakili mzuri kuhamasisha Haki na amani unatishia watu wazima kuwafanya wawe viwete. Really! Watu wanaodai haki zao.

8. Wewe na wenzako ambao miaka nenda rudi mlitengwa na jamii zote duniani. Wenye haki walipambana na mpaka kesho tunapambana kwaajili ya watu dhaifu au wanyonge wapate haki zao. Leo wewe unawauia wenzako wasipambane kwaajili ya mambo wanayoyaona ni haki kwao. Kweli? Na unaona ni sawa?

9. Hivi unajua wewe ungetakiwa kuuawa tangu ukiwa kichanga kutokana na hali yako hiyo, sio wewe tuu na wenzako wenye ulemavu mwingine. Labda hujui. Lakini watu wachache walipambana kufa kupona ili wewe kiwete na wengine wenye mahitaji maalum mpewe haki sawa kama wale waliozaliwa wakiwa na majaliwa zaidi yenu. Lakini wewe hilo umelisahau.

10. Ni bora jambo hilo waongee wengine wasio na hali kama yako tutasema hawajui hali za unyonge lakini hali uliyonayo wewe haikuruhusu kuwaonea wanyonge wengine bali inatakiwa uitumie kuwapigania wanaodai haki zao kama wewe ulivyopiganiwa.

11. Baadaye unasema ulikuwa unatania. Unamtania nani kwenye mambo serious.
Badala uombe msamaha unarahisisha ulikuwa unatania. unatania kuwafanya watu kilema.
Unafikiri ukilema ni jambo dogo sio?
Unafikiri ukilema ni jambo la kuletea matani.

12. Watu wakimuita mtu Zeruzeru au sope mtu mwingine kwa utani sisi wengine inatuumiza. Sembuse kumtania mtu kumgeuza kiwete au mlemavu. Really

13. Unasema utawageuza viwete unafikiri walioviwete sasa hivi wanajisikiaje? Huna hata akili ya kufikiri maneno yako yanaathari gani kwenye jamii. Huna adabu.

14. Hayo machafuko yakitokea wewe unauwezo wa kufanya nini. Au unafikiri machafuko yakitokea utabaki kuwa DC sio, unafikiri hao walinzi watakuwa wanakulinda wewe sio, waache kulinda viongozi wakubwa wakulinde wewe. Magoti wewe ni kiongozi mdogo sana.
Lakini hata ungekuwa kiongozi mkubwa bado haikuwa hekima na uungwana kuongea maneno uliyoyaonge.

15. Unashindwa kuongea kiungwana. Kwamba jamani watu wakapige kura, wale wanaohitaji reforms wawe wavumilivu serikali inafuatilia madai yenu. Na ninwaahidi serikali ni sikivu na itafanya yale yaliyo ndani ya uwezo wake kutimiza haja za wananchi wote wa nchi hizi.

16. Wewe unatishia watu tena kwa maneno ya ajabu ajabu. Wewe ulifikiri watu wote wanaogopa vitisho. Ingekuwa hivyo mbona wanaotekwa au kuuawa wasingekuwa wanajitokeza kila siku.

17. Viongozi wako wa juu tuu hawana huo ujasiri wa kipumbavu kuongea mashudu uliyoyaongea.
Coz wanajua impact yake.

18. Unasema utafanya watu vilema. Unafikiri wewe na hao wenzako mnamiili ya chuma isiyoweza kudhurika? Tumia Akili.
Usichochee vurugu kwa kuleta maneno makali. Maneno mabaya huchafua roho na nafsi.
Roho na nafsi vikichafuka unafikiri mwili utajali?

19. Haya sasa kipimo unachopima utapimiwa zaidi. Mbaya zaidi unaathiri mpaka wengine wasiohusika wenye hali kama yako.

20. Omba msamaha maana najua watanzania bado hawajachafukwa vilivyo ingawaje cheche zinaonekana.
Sio uwaone kama watoto wadogo ati unawatania.

Ijumaa Kareem!
Nawatakia maandalizi mema ya Habari.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom