Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,178
- 30,662
Tuna ongelea kuhusu kiti🪑cha kukalia ofisini.Kwahiyo ukiwa dereva wa gari la serekali unaweza kumpa mkeo aende nalo Saloon, maana ni lako kwa muda huo?
Tatizo unataka ku complicate mambo.
Gari na kiti havina uhusiano wowote ule.
Mbona Raisi Samia alimwachia kiti yule mwanafunzi wa sekondari akaketi.
Mbona hamkuongea?
Hili la DC kumkalisha mwanae kwenye kiti tu, ndio inawauma!!!
Punguzeni chuki kidogo.