Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Zuri kama zuri
Sioni tatizo hapo kwani hakuna maagizo huyo mtoto anayatoa. Ni picha tu lakini pia inamjenga mtoto kuelewa kumbe kusoma kwa bidii ipo siku unaweza kufika hapo. Shida ambayo sisi watanzania wengi wetu hatuna tamaduni za kuwarithisha mawazo watoto wetu kazi au shughuli tunazofanya /kuwajenga kwa mawazo au vitendo. Ni wachache sana wanaofanya hivo. Angalia wenzetu wenye asili ya kiarabu au wahindi unakuta mtoto mdogo anaanza pelekwa dukani kujifunza biashara akikua anakabidhiwa. Sasa hata hawa wenzetu viongozi kama huyu anaonekana anamjenga mwanae taratibu na hawa wakikuwa unakuta tayari wanamaarifa. Tuwajenge watoto wetu pale tulipo lakini pia watambue nini tunafanya. Sawa pengine yeye kaona fursa kwake kama DC mwanae afahamu nini kama baba anachofanya.Najua wengi tunatamani watoto wetu waje kuwa viongozi basi tusikate tamaa tukae nao na kuwapa stori za viongozi bora waliowahi kuwepo nchini.Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Kiti kinawakilisha mamlaka, Baba anamkasimisha Mamlaka mtoto?Suala la kiongozi kumpisha mtoto kiti halijaanza Kwa huyu DC,sasa Kwa mtoto wa kumzaa mbona easy tu 😂
Unamjenga mtoto awe DC?Sioni tatizo hapo kwani hakuna maagizo huyo mtoto anayatoa. Ni picha tu lakini pia inamjenga mtoto kuelewa kumbe kusoma kwa bidii ipo siku unaweza kufika hapo. Shida ambayo sisi watanzania wengi wetu hatuna tamaduni za kuwarithisha mawazo watoto wetu kazi au shughuli tunazofanya /kuwajenga kwa mawazo au vitendo. Ni wachache sana wanaofanya hivo. Angalia wenzetu wenye asili ya kiarabu au wahindi unakuta mtoto mdogo anaanza pelekwa dukani kujifunza biashara akikua anakabidhiwa. Sasa hata hawa wenzetu viongozi kama huyu anaonekana anamjenga mwanae taratibu na hawa wakikuwa unakuta tayari wanamaarifa. Tuwajenge watoto wetu pale tulipo lakini pia watambue nini tunafanya. Sawa pengine yeye kaona fursa kwake kama DC mwanae afahamu nini kama baba anachofanya.Najua wengi tunatamani watoto wetu waje kuwa viongozi basi tusikate tamaa tukae nao na kuwapa stori za viongozi bora waliowahi kuwepo nchini.
Kwa hiyo ili huyo mtoto akae hapo Kwa haki Baba yake awe mzungu na mwenye pesa??Mbona umeshataja tofauti yao rangi na utajiri
Kule Tanga, Raisi Samia alivyompisha kiti yule mwanafunzi wa sekondari ya Magila napo utasema ni kumpa mamlaka?Kiti kinawakilisha mamlaka, Baba anamkasimisha Mamlaka mtoto?
Siyo UDC bali uongozi unajengwa toka mdogoUnamjenga mtoto awe DC?
Kwani huyo DC hiyo ni ofisi yake?Wivuuuuu!!
Punguza wivu na chuki.
Na wewe pambana mwanao akakae kwenye ofisi yako.
Wewe kama ulikalishwa kwenye makuti ya minazi 🌴, Pambana mwanao aje akalie kiti cha ofisi yako.
Ni ofisi ya umma na huyo mtoto ni mwananchi tatizo lipo wapi? Kwani shida mzazi akiwa kiongozi kutembelea ofisi yake sababu ni ofisi ya umma?Kwani huyo DC hiyo ni ofisi yake?
Hiyo ofisi haina viti vya wageni?Ni ofisi ya umma na huyo mtoto ni mwananchi tatizo lipo wapi? Kwani shida mzazi akiwa kiongozi kutembelea ofisi yake sababu ni ofisi ya umma?
Kwa muda huu ni yake maana yeye ndio anaitumia.Kwani huyo DC hiyo ni ofisi yake?
Siyo sheria, utaratibu na kanuni mtoto wako kukaa kwenye kiti cha Serikali. Hicho kiti ni cha Mhe. Rais. Kwanini mtoto akalie kiti hicho. Ni wakati muafaka huyo DC atumbiuliwe.
Yaani katika mambo yote wanayofanya viongozi wetu hili ndio limekukera hadi ukaamua kutumia muda wako kulianzishia uzi? Watanzania tuko so petty, very sad.Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Ninacho na sio cha kilofa kama chako.Sasa wewe lofa Una Hata kiti?
Kwani akitumbuliwa wewe inakusaidia nini mkuu? Ni chuki dhidi ya serikali na mifumo yake au kweli unataka atumbuliwe kisa kitoto hiki kimalaika kimekalia kiti cha baba yake ofisini? 😳Siyo sheria, utaratibu na kanuni mtoto wako kukaa kwenye kiti cha Serikali. Hicho kiti ni cha Mhe. Rais. Kwanini mtoto akalie kiti hicho. Ni wakati muafaka huyo DC atumbiuliwe.
Kwahiyo ukiwa dereva wa gari la serekali unaweza kumpa mkeo aende nalo Saloon, maana ni lako kwa muda huo?Kwa muda huu ni yake maana yeye ndio anaitumia.