DC Jerry Muro ashinda kwa kishindo kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM- Taifa

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.

#KaziInaendelea.

FB_IMG_1665036671096.jpg
 
View attachment 2378646
Na ni mtumish wa Umma? Nahisi tuna katiba Mbovu kiliko hata ya Korea Kaskazini, make kote hata Rwanda bado katiba yao ni bora ukiilinganisha na ya Tanzania, na bado raia tuna kenua meno tu na joking nyingi
 
Huyu anayependa mambo haram? Anayependa kuingilia wanawake kinyume na maumbile? Shetani hakika ni baba wa CCM
 
Back
Top Bottom