DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

Wewe ulitaka asiende na wapiga picha? Juzi Lowassa alienda Dumila na wapiga picha kununua mahindi ya kuchoma tatizo lipo wapi.
Unaonyesha ulivyomjinga kuchanganya utendaji wa kazi za kiserekali na matukio ya kisiasa.
Mambo ya kisiasa hata kama angeenda pale na Diamond au Snura awaimbie wimbo wa chura sawa tuu lakini sio shughuli za dola kuleta usanii.
 
Kwa ufupi huyu DC alikuwa anatoka kwa mchepukos mmoja hivi huku akiwa amelikoroga kwa kuchelewa kufika home akaamua ajitungie tour ya kushtukiza ili kupoteza maboya mtu fulani hivi......
 
View attachment 344839 View attachment 344840 View attachment 344841 DC HAPI ATEMBELEA GHAFLA HOSPITALI YA MWANANYAMALA USIKU LEO.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.

Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.

Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.

Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.
Hii hawamu ya mapichapicha,kwakweli sijui kama tutafika.
 
Sasa kama mkuu wa wilaya siku ya kwanza kukabidhiwa ofisi anaonekana yuko na kina ruge mutahaba unategemea nini zaidi ya maigizo ya Tanzania House of Talent?

Amenikumbusha Kigwa na picha zake za kupanda Bodaboda.
 
Wawe

Unajua hawa Vijana sasa wanamfanya Magu wa kuja na mshamba sana. Kwa nini kumfanyia usanii hivi? Ai wanamuona hawezi gundua kuwa wanamchezea kekundu keusi?
Shauri zai, kuna siku atakasirika! Atachoka kuwaona hawa Vijana aliowapa nafasi wanatoa mwanya mambo ya kama yule kijana wa Arusha yanajitokeza
Yuko mkuu wa wilaya huko iringa amefikia hatua ya kubeba wanaume wenzake mgongoni na kupiga picha.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.

509c0e7012df18c89bb2811f033500d9.jpg

175ccad07cd59ab882d255a614f5df31.jpg

1e2bffb7c7ef0971ec134aef1daebc24.jpg

tutashuhudia tamthilia nyingi sana awamu hii.

ngoja niwahi zangu kwenye foleni ya sukari isijekuwa shida kesho.
 
Hivi hii dhanna ya paka na panya katika uongozi tumepata wapi? Au ndiyo hawa viongozi wanatoka shule za kufundisha ujinga?

Huu mpango wa kushtukiza ina maana tunafanya crisis management na hatuna organized management.

Tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Hii inanikumbusha kitabu cha hekaya za kale cha alf lela u lela mfalme anapobadili mavazi ya kifalme usiku na kufanya doria.

Dah! Inasikitisha sana kukosa utawala wa kisasa kiasi hiki.

Halafu anakuja kujisifu kuwa anafanya kazi?!!!
 
Hivi hii dhanna ya paka na panya katika uongozi tumepata wapi? Au ndiyo hawa viongozi wanatoka shule za kufundisha ujinga?

Huu mpango wa kushtukiza ina maana tunafanya crisis management na hatuna organized management.

Tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Hii inanikumbusha kitabu cha hekaya za kale cha alf lela u lela mfalme a apobadili mavazi ya kifalme usiku na kufanya doria.

Dah! Inasikitisha sana kukosa utawala wa kisasa kiasi hiki.

Halafu anakuja kujisifu kuwa anafanya kazi?!!!
cc Ritz labda huyu utamwelewa
 
I
View attachment 344839 View attachment 344840 View attachment 344841 DC HAPI ATEMBELEA GHAFLA HOSPITALI YA MWANANYAMALA USIKU LEO.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.

Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.

Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.

Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.
Ingekuwa ghafla wewe ungepata wapi picha..mlipanga..sema alitembelea bila kuutarifu uongozi wa hospitali.
 
Back
Top Bottom