mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Mpiga picha alijuaje kama huyo ni DC akaanza kumfotoa?
hahahaha na camera alienda nazo kama kawaida
Lkn pia vile vile watu wanaosema na kupiga kelele hakuna ulazima wa kurusha matangazo ya bunge live wao kuchukua macamera hata usiku wa manane ili waonekane wanafanya kazi!...watu wanaotaka bunge lioneshwe live kwa msingi wa haki ya mwananchi kupata habari,ndio hao hao wanaokejeli kupata habari za DC!
...tutafika tu inshaAllah!
Wewe punguani kweli wewe unachoandika humu ndiyo unaona sahihi?Wewe unaleta masihara kwa mambo ya muhimu. DC hapaswi kufanya mambo ya sifa za siasa katika utendaji wa kazi za serikali. Ndio maana huwezi kumkuta Magu kaenda pale Bandarini au Muhimbili akapiga pushup au kucheza mapanga shaa.
Hapi sijui nani hawapaswi kuchezea profesheno na watu hasa madaktari kwa kutoka zao club kwenye mapombe na kujifanya wanakagua wanafanyaje kazi. Hata aliyewapa hizo kazi naye atashtuka kuwa wanamuingiza mjini
....kwa hizo sentensi za mwisho nasikitika u-mmojawapo wa wale!....hiyo ni hoja kinzani,ama?Lkn pia vile vile watu wanaosema na kupiga kelele hakuna ulazima wa kurusha matangazo ya bunge live wao kuchukua macamera hata usiku wa manane ili waonekane wanafanya kazi!
aseee mkuu vipi tena.....nimesambaza wapi mkuu? hebu leta huo ushahidi wa mimi kusambaza hiyo ripotiHayo ni mautundu yenu Bavicha.
Kamanda naomba ile ripoti ya CAG ya ufisadi wa kutisha NSSF zaidi ya Escrow ambayo ulikuwa unaisambaza na kijiapiza kuwa ni ya kweli umevuja umepewa na jamaa yako anafanya ofisi ya CAG.
Hahahahhaahh!
Kwa hiyo alienda na wapiga picha kutoa msaada wa hao ambao hawapati huduma?Wewe punguani kweli wewe unachoandika humu ndiyo unaona sahihi?
Una uwezo wa kunipangia cha kuandika JF siyo mali ya Chadema umesikia wewe kauzu?
Kama upendezwe na michango yangu funga domo lako siyo kujipa mamlaka humu JF ya kupangia watu cha kuandika eboo!
Wapi DC kakamwambia anatafuta sifa? Kama siyo utoto nini unasema katoka disco ulikuwa naye huko disco? Kuna ubaya gani DC kutembelea hospital usiku na kuona utendaji wa kazi, unajua wagonjwa wanavyopata tabu usiku hapo hospital kikosa huduma?
Unadhani kaenda kutembea tu watu wanapata ajali wanapelekwa pale usiku hamna matibabu mpaka asubuhi.
Usilete ushabiki mandazi wa Chadema kupinga kila kitu.
Hongera mkuu wa wilaya kwa ukaguzi huo wa kushtukiza.
Binafsi naamini taratibu kama hizi zitafanikiwa zaidi endapo kukiwa na "stipulated standard operation procedures".
Kwa mfano kuwe na maandishi na makubaliano kabisa kuwa
1. Kunatakiwa kuwe na wauguzi wangapi kazini kwa kila wagonjwa wangapi
2. Kunatakiwa kuwe na madaktari wangapi kazini kwa muda fulani
3. Kunatakiwa taratibu zipi zifuatwe katika kupokea wagonjwa
4. Kuantakiwa taratibu gani zifuatwe katika kutoa dawa nk..
Then akija mkuu wa wilaya kama hivyo (ideally anatakiwa kuandamana na afisa wa afya wa wilaya) wanapita na karatasi yao wakitiki kipi kinatekelezwa na kwa kiwango gani. Then kwenye mkutano wa mwezi wa progress za huduma za afya (na assume kuwa mikutano ya kisekta inafanyika kila mwezi), ripoti za ukaguzi kwa kila hospitali, zahanati, vituo vya afya nk zinajadiliwa). Mapungufu yanatafutiwa ufumbuzi na pale inapoonekana mtu fulani kwa uzembe ndiye anayesababisha mapungufu fulani anaonywa, ikibidi anatumbuliwa...
The same should apply kwenye elimu, masoko, machinjio, stendi za mabasi, vituo vya polisi nk...
Mpiga picha alijuaje kama huyo ni DC akaanza kumfotoa?
Wewe ulitaka asiende na wapiga picha? Juzi Lowassa alienda Dumila na wapiga picha kununua mahindi ya kuchoma tatizo lipo wapi.Kwa hiyo alienda na wapiga picha kutoa msaada wa hao ambao hawapati huduma?
....Huyu alikuwa anatokea Club akaibukia Hospital. Kuna wenzie waliwahi kuibuka machinjioni usiku wa manane kama wachawi lakini sasa hivi hata asubuhi hawaendi kokote. Hii nchi Sanaa zimezidi, kama mko serious tengenezeni Standard Operating Procedures kwa hospital zote Tanzania na sio kuibuka ibuka Tu. Kwa hiyo DC wa Tandahimba naye kesho asilale aende hospital ya wilaya usiku. CCM inaongoza nchi kwa style ya wapiga ramli
ani alikua anampiga picha???Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Ally Salum Hapi jana alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mwana nyamala na kujifanya anahitaji huduma ili kujionea hali halisi ya utoaji huduma hospitalini hapo.
Habari zinasema kwamba hakwenda na waandishi wa habari kama ilivyo kawaida ya ziara zinazo itwa za ghafla. Hakupenda kuwa na msafara wa watu watakao shuhudia ziara hiyo.
View attachment 345045