ni mizuka mkuu ndo inatumika kuendesha nchiHuyu alikuwa anatokea Club akaibukia Hospital. Kuna wenzie waliwahi kuibuka machinjioni usiku wa manane kama wachawi lakini sasa hivi hata asubuhi hawaendi kokote. Hii nchi Sanaa zimezidi, kama mko serious tengenezeni Standard Operating Procedures kwa hospital zote Tanzania na sio kuibuka ibuka Tu. Kwa hiyo DC wa Tandahimba naye kesho asilale aende hospital ya wilaya usiku. CCM inaongoza nchi kwa style ya wapiga ramli
Wewe ukipewa utaridhikaWatu wa kulalamika kama nyinyi hata ukipewa nini hutoridhika
Hapa kazi tu, piga kazi kaka!! Watu wengine nyinyi tushawazoeya, na asingekwenda ungeibuka na hoja apa dc yuko wap malalamiko hispital ya mwananyamala hayackiii..Huyu alikuwa anatokea Club akaibukia Hospital. Kuna wenzie waliwahi kuibuka machinjioni usiku wa manane kama wachawi lakini sasa hivi hata asubuhi hawaendi kokote. Hii nchi Sanaa zimezidi, kama mko serious tengenezeni Standard Operating Procedures kwa hospital zote Tanzania na sio kuibuka ibuka Tu. Kwa hiyo DC wa Tandahimba naye kesho asilale aende hospital ya wilaya usiku. CCM inaongoza nchi kwa style ya wapiga ramli
Kwa hiyo ulevi wake akaona sasa akawachezee madaktari na wauguzi wanaofanya kazi katika mazingira magumu kwa kuwavizia?Tulikuwa naye Maisha Club kumbe baadaye alienda Mwananyamala dah! Na alikuwa bwax.
Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha.hahahaha na camera alienda nazo kama kawaida
Mama leo lazima atembelewe na watu wa mapato![]()
Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha.
Hata tulivyokuwa tunatembelea soko la Tandale kuongea na wauza mchele na maharage tulikuwa na camera zetu.
Hata siku ule tulivyopanda daladala la gongolamboto tulikuwa na camera zetu unakumbuka kamanda.
Kwahiyo @issawena ulitaka Hata Simu angeacha Nyumbani kwakuwa angepiga Picha sio?
Na Unatarajia Umma utajuaje kama Hamjapiga Picha wala hamjazungumza na Media.?
Mh Ummy Mwalimu alipoapishwa tu alikimbilia Mwananyamala baada ya hapo kimyaaaa! kaeni na viongozi wenzenu mliowakuta ofisini mtatue matatizo siyo kutafuta sifa.
Safi tu kamanda sasa hivi tumekuja na ubunifu mpya badala ya kuzungusha mikono makamanda wanazungusha makalio.vipi ustaadh? uko safi kabisa kichwani au ushakula ndumu?