Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Nashangaa sasa hiyo pharmacy inahusika vipi na iko nje......infact HIZI NDIO ZIARA ZA KUSHTUKIZA ZA SIKU HIZIIyo pharmacy ni ya ndani ya hospital au,,,,aisee hii nji
Nashangaa sasa hiyo pharmacy inahusika vipi na iko nje......infact HIZI NDIO ZIARA ZA KUSHTUKIZA ZA SIKU HIZIIyo pharmacy ni ya ndani ya hospital au,,,,aisee hii nji
Nashangaa sasa hiyo pharmacy inahusika vipi na iko nje......infact HIZI NDIO ZIARA ZA KUSHTUKIZA ZA SIKU HIZI
Hizi zilikua ni kampeni ndo maana ilimlazimu hata Mr prezoo apige pushups,sasa huyu anatafta nini na maigizo yote haya?Mkuu wangu mbona hizo picha ni kawaida tu hivi mkuu na hii picha ulihoji au?
View attachment 344902
We acha mkuu, sukari buku mbili jero mtaani
Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha
Hata tulivyokuwa tunatembelea soko la Tandale kuongea na wauza mchele na maharage tulikuwa na camera zetu.
Hata siku ule tulivyopanda daladala la gongolamboto tulikuwa na camera zetu unakumbuka kamanda.
Vyeo vya usanii Tanzania tubadilishe katiba mambo ya kuchagua MADC bila mtu kuulizwa ni sawa sawa mtu mwenye pesa anavyochagua vitumbua kwenye deliHaya bana awe mwangalifu maana madaktari wanasoma miaka mingi mpaka kufikia udaktari au udaktari bingwa, sasa hivyo vyeo vya usanii vya kupewa asije kuwachezea madaktari watamnyoosha
Mi nasikitika kuona mtu analeta siasa kwenye taaluma za watu baada wangekua wanawashauri namna ya kufanya kazi kwa ufanisi na motivation wao wanaishia kutoa matamko na ziara za kustukiza natamani madaktari wagome watu waone wakuu wa mikoa na wilaya watawasaindia nn?namna siasa inavyotumika now na kutumia nafasi zao kuwasumbua professional kwenye kazi zao ni sheeda nilimsikia namna doctor wa mwananyamala alivyojibu jana kitaalam juu ya kauli ya makonda kwa yule mgonjwa wanasema uzembe wa madactar ila doctor kasema sio uzembe bali ni ignorance ya waliotoa taarifa ya mgomjwa ignorance ilianzia kwenye kumcare mgonjwa wa ajar ambae ametokwa na dawa muda mrefu ajapewa uduma za kutosha rc analaum madactor yule doctor aliongea kwa isia kubwa
Wewe unaleta masihara kwa mambo ya muhimu. DC hapaswi kufanya mambo ya sifa za siasa katika utendaji wa kazi za serikali. Ndio maana huwezi kumkuta Magu kaenda pale Bandarini au Muhimbili akapiga pushup au kucheza mapanga shaa.Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha.
Hata tulivyokuwa tunatembelea soko la Tandale kuongea na wauza mchele na maharage tulikuwa na camera zetu.
Hata siku ule tulivyopanda daladala la gongolamboto tulikuwa na camera zetu unakumbuka kamanda.
Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha.
Hata tulivyokuwa tunatembelea soko la Tandale kuongea na wauza mchele na maharage tulikuwa na camera zetu.
Hata siku ule tulivyopanda daladala la gongolamboto tulikuwa na camera zetu unakumbuka kamanda.
namna siasa inavyotumika now na kutumia nafasi zao kuwasumbua professional kwenye kazi zao ni sheeda nilimsikia namna doctor wa mwananyamala alivyojibu jana kitaalam juu ya kauli ya makonda kwa yule mgonjwa wanasema uzembe wa madactar ila doctor kasema sio uzembe bali ni ignorance ya waliotoa taarifa ya mgomjwa ignorance ilianzia kwenye kumcare mgonjwa wa ajar ambae ametokwa na dawa muda mrefu ajapewa uduma za kutosha rc analaum madactor yule doctor aliongea kwa isia kubwa