DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

Safi tu kamanda sasa hivi tumekuja na ubunifu mpya badala ya kuzungusha mikono makamanda wanazungusha makalio.

Ungekua unajikita kwenye hoja ungeonekana kweli unayo mchango kwenye ujenzi wa Taifa, ila kwa michango yako haya unaonekana kabisa huwatakii waTanzania mema.

Kweli unamaanisha mkuu wa Wilaya hajaona changamoto ya Mwananyamala hosp ofisini mwake?
 
Naona mpini umeingia sasa tulia sasa dawa ingie taratibu.

Umeona post yangu tu? Posts za pro-Chadema ambazo zipo nje ya hoja ujasema kitu sababu zinakufurahisha.

Upuuzi ujibiwa kipuuzi kamanda.
 
sasa hizi safari zenu za kushtukiza mnawaambiaga waandishi wa habari au huwa mnaenda na waandishi wenu na wapiga picha

miaka mitano ya maigizo na sifa inaendelea,,muda ndio utakaosema.
Mm nadhani wanaenda na camera kwaajili ya kuweka kumbukumbu. Nijuavyo mm sio lazima kila Jambo liwe kwenye habari. Labda uwe unamiliki gazeti. Kwani akijua kero bila camera hawezi kutatua tatizo? Au ndo wanataka mkulu awaone ili Kesho tusikie kawa rc njombe
 
Naona mpini umeingia sasa tulia sasa dawa ingie taratibu.

Umeona post yangu tu? Posts za pro-Chadema ambazo zipo nje ya hoja ujasema kitu sababu zinakufurahisha.

Upuuzi ujibiwa kipuuzi kamanda.

Kumbe unajibu upuuzi, asante kwa kukubali kua unajibu upuuzi....kumbuka anaejibu kipuuzi hua anapuuzwa alafu anakua mpuuzi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.

509c0e7012df18c89bb2811f033500d9.jpg

175ccad07cd59ab882d255a614f5df31.jpg

1e2bffb7c7ef0971ec134aef1daebc24.jpg

Mkuu wa wilaya ya Babati na Mkuu wa kituo cha Polisi waliamuru wananchi waliopeleka maiti ya mtoto aliyekufa na maji, wapigwe na kuwekwa ndani!!
Taarifa hiyo ipo Polisi Babati,
ni hatari!!
 
namna siasa inavyotumika now na kutumia nafasi zao kuwasumbua professional kwenye kazi zao ni sheeda nilimsikia namna doctor wa mwananyamala alivyojibu jana kitaalam juu ya kauli ya makonda kwa yule mgonjwa wanasema uzembe wa madactar ila doctor kasema sio uzembe bali ni ignorance ya waliotoa taarifa ya mgomjwa ignorance ilianzia kwenye kumcare mgonjwa wa ajar ambae ametokwa na dawa muda mrefu ajapewa uduma za kutosha rc analaum madactor yule doctor aliongea kwa isia kubwa
 
Mi nawaza hizo picha zimetoka wapi kama ni ghafla na kushtukiza hamna bana alipanga na aliaanda watu wake wa kamera haya matukio sijui yanamaanisha nn? Kuwavamia watu kwani kunasababisha morali ya watu kupanda na kufanya kazi bora? Andaeni mikakati itakayofanya watu wafurahie kazi na watoe huduma bora.
 
Kwahiyo @issawena ulitaka Hata Simu angeacha Nyumbani kwakuwa angepiga Picha sio?

Na Unatarajia Umma utajuaje kama Hamjapiga Picha wala hamjazungumza na Media.?
umma ukishajua kua alienda wananchi wanafaidika vipi?
 
Mkuu wewe lazima utakuwa mwalimu wao...manake kwa kuzungusha makalio uko vizuri sana
Hayo ni mautundu yenu Bavicha.

Kamanda naomba ile ripoti ya CAG ya ufisadi wa kutisha NSSF zaidi ya Escrow ambayo ulikuwa unaisambaza na kijiapiza kuwa ni ya kweli umevuja umepewa na jamaa yako anafanya ofisi ya CAG.

Hahahahhaahh!
 
Mi nawaza hizo picha zimetoka wapi kama ni ghafla na kushtukiza hamna bana alipanga na aliaanda watu wake wa kamera haya matukio sijui yanamaanisha nn? Kuwavamia watu kwani kunasababisha morali ya watu kupanda na kufanya kazi bora? Andaeni mikakati itakayofanya watu wafurahie kazi na watoe huduma bora.
Mkuu wangu mbona hizo picha ni kawaida tu hivi mkuu na hii picha ulihoji au?
images-10.jpeg
 
Japokuwa siikubali ccm na mambo yake, ila charity begins at home, piga kazi dogo, hizo ndo strategies za kutokea kitanzania tanzania, hakuna namna tena. Najua una kipaji cha Uongozi, in the long run you will make it.
 
Social media coverage inawafanya wanaigiza uwajibikaji tho sio mbaya ngoja tuone solutions atazotoa baada ya kutambua changamoto alizozikuta
 
Mkuu wangu mbona hizo picha ni kawaida tu hivi mkuu na hii picha ulihoji au?
View attachment 344902

Kwani bado siasa zinaendelea? Nafikir alikuwa anaangalia ni yapi ua kudili nayo pind akipata nafasi sasa hawa nafas wanayo bado wanavizia watu Ritz saiv ni utendaji na utekelezaji haya maonesho yaishe lazima mazingira ya kazi yaandaliwe yawe rafik ili watu wafurahie shughuli zao. Kwenda kuwashtukiza ni kutattua kero zao watoa huduma? Unamfurahisha mpokea huduma je umeyajua matatizo ya mtoa huduma?
 
MIMI AINA YA UONGOZI WA KUUZA SURA SIUPENDI KABISA ...YAANI KIONGOZI KILA KITU ANATAKA KIWE SCENE ....VIONGOZI WAMEAJIRI HADI WAANDISHI WA KUZUNGUKA NAO KUWAPIGA PICHA ...KWENYE LEVEL NDOGO TU YA MKUU WA WILAYA ....
NAAMINI KAMA MTU ANAFANYA KAZI NZURI TAARIFA ZITAFIKA TU .....
 
Back
Top Bottom