Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,070
Kuna siku litakuja tamko la kufunga mitaa kadhaa ya huko dar kisa mitaa hiyo kuna machangudoa wengi wanajiuza
Kwahiyo unataka kusema hii nayo deal? Wamekubaliana na business owner afungiwe halafu zikipatikana za mahakamani wanagawana?Mwaka huu watu watalipwa fidia sana maana kila kiongozi hivi sasa anajifanya ni mwanasheria .
wanachama wapya watahamia Chadema kwa press conference nao....Watetea maovu chadema, watatetea
Ndio hapo, utathibitisha vipi kama mtu anajiuza au la? Kusema tu wanaruhusu haitoshi, maana kila mtu anaenda kwa starehe zake na hakuna anaejibandika tangazo kwamba anajiuza, sasa yeye mwenye baa atazuiaje, ni jukumu la polisi kuzuiabhiyo biashara, jukumu la mwenye baa ni kulipia leseni na kodi stahikiHii sio amri halali. Unawafungiaje kisa kuna machangu? Hawa vijana sijui Dr. JPM aliwaokota wapi?
Kwahiyo Durban night club inahusika?Sasa hivi ukitaka kumuondoa mpinzani wako kwenye business unacollude tu na viongozi hawa. Kesho yake tamko la kumfungia mtu lazima litoke. Sijui twaelekea wapi.
acha siasa wewe, na wewe mteja wao niniWatetea maovu chadema, watatetea
We utakua na matatizoNaamini wengi wanaotetea hawajui hata hiyo bar ikoje au wanapenda maovu ya humo.
Hata mimi sijawaelewaHivi bar ndio inayoweza kuthibiti biashara ya ngono?
Muuza uchi utamjuaje?
Wewe uligraduate na high g.p.a lakini wapo pia waliograduate na vvu.Mr. Hapi, stress zote hizi za Maisha unatoa matamko ya kijinga..ile bar imenifanya ni graduate vyema..Corner Bar oyeeehh
Kwani inamilikiwa na nani kutoka upinzani maana pale ni mwisho aisee.Sasa hivi ukitaka kumuondoa mpinzani wako kwenye business unacollude tu na viongozi hawa. Kesho yake tamko la kumfungia mtu lazima litoke. Sijui twaelekea wapi.