Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,619
- 5,519
Hasira za nini,hamia mikoani wateja tupoWatetea maovu chadema, watatetea
Hasira za nini,hamia mikoani wateja tupoWatetea maovu chadema, watatetea
Lissu kuna hela huku corner bar. Zungukia utengrneze mazingira.
Inayojiuza ni bar au watu? kwanini wasiwakamate wanaojiuza? kwanini na ile mitaa maarufu ya machangudoa isifungwe? mwenye bar akisema ni chuki binafsi DC atakataaje?
kawavalisheni magwanda kamanda!! kwanza Ufipa ni maliberali na hata marafiki zao ughaibuni ni maliberali...si ajabu kuja kuwasapoti Transgenders and Gayism.Hivi hawa viongozi wanaakili timamu kweli..??
Ebu acha kutetea ujinga,mbona wauza uchi hawakai pembeni ya msiki au kanisa? Au ofisi za serikali?Hivi bar ndio inayoweza kuthibiti biashara ya ngono?
Muuza uchi utamjuaje?
Dar es Salaam. Baada ya malalamiko kuzidi kutokana na kuwapo biashara zisizo rasmi katika baa maarufu ya Corner, sasa baa hiyo imeamriwa kufungwa.
Akiwa katika ziara ya kawaida leo (Jumamosi) mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amemuagiza Ofisa Biashara wa Kinondoni, Mohamed Nyasama kuifunga baa hiyo.“Hatuwezi kuvumilia vitendo hivivikaendelea kufanyika huku tukiwa kimya...
natoa agizo kesho nendeni kaifungieni hiyo baa kwa kuwa inakiuka maadili,”amesema Hapi.
Hata hivyo Nyasama amesema walishaitoza baa hiyo faini ya Sh 300,000 kwa kosa hilo.“ Mkuu hii baa ni sugu, nimeahawahi hata kuipiga faini na bado imeendelea na utaratibu huo huo wa kuruhusu kina dada kujiuza.
Kwa amri yako mkuu naanza taratibu za kuifungia leo, hadi kufikia keshoitakuwa tayari,” amesema.
Chanzo : Mwananchi Online