DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.

Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.

Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.

Chanzo: ITV.

cc: Erythrocyte, Gentamycine

Maendeleo hayana vyama!
 
Gondwe hawezi vumilia Chombo cha habari kilichomlea hadi kufikia alipo kisa mpuuzi mmoja anayejimwambafyai kizamani... So nimeamini Msemo wa kisasa wa TBC kuwa Raisi Dokta Magu.

Mtiifu. Double ''G'' ni Mwakilishi wa Raisi Directly so Raisi kasikia ujinga na upuuzi na majigambo ya Dedi lets wait and see whats is going around what is coming around
 
Awamu ya wagonjwa wa Mirembe, bora angesema mwenye hadhi ya kuongea naye kwa sasa ni Regnald mengi
 
Back
Top Bottom