Hatari sana
Yaani ni shida jamani, unafungua bomba maji yanatoka meusi kabisa, huwezi kuyatumia kwa namna yoyote ile, na inaweza kuchukua hata masaa matano ndio yanaanza kutoka masafi
Kama hakuna majibu si bora na uzi uondolewe tu?Dawasa muwe kama Tanesco, Wao kwenye Uzi wao wanatokea na kujibu hoja mbalimbali wanazoulizwa na wananchi. Badilika.
Mimi ni mteja wenu niko Kibaha misugusugu Vitendo tangu niunganishiwe maji yametoka miezi miwili na mpaka leo hakuna maji sijui tatizo na bili wanatuma sijazilipa kwakuwa mita haitumiki sijui bili wanaitoa wapi naomba kuwasilishaDawasco dawasco mmenikwaza sana tokea niwaambie tatizo langu ...
Mbona sijibiwi au hii ni mfuMimi ni mteja wenu niko Kibaha misugusugu Vitendo tangu niunganishiwe maji yametoka miezi miwili na mpaka leo hakuna maji sijui tatizo na bili wanatuma sijazilipa kwakuwa mita haitumiki sijui bili wanaitoa wapi naomba kuwasilisha