Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Naelewa. Hela ni muhimu kwenye mahusiano lakini usiitangulize - isiwe kama ndio nguzo ya mapenzi ndugu. Lakini pia usifanye mahusiano bila kuwa na pesa kwa sababu itakutesa pia!!
Hao tunaowatangulizia pesa sio wa kujenga mahusiano mkuu, labda itokee bahati mbaya.
 
Inasikitisha kuona mpaka karne hii kuna watu wanatumia akili nyingi kuwapata wanawake,

Wew mwambie Nataka nikutoe Dinner or Lunch kuna vitu nahitaji kuongea na wew,Mpaka hapo mwanamke anakuwa ashakuona wew ni Gentleman, Asilimia kubwa lzm akuelewe.
 
Nina jamaa yangu ana S8 na iPhone X hzo phne hutumia kama swaga za kuwanasa na wananasa kweli misimu ya milioni inawachanganya kama vile akimkubalia atapewa simu mojawapo,wanaandika nmba kiulani

Trick nyingne ndo hyo ya kukosea nmba yahn hapa hela anapewa kuanzia kuwadi wa nmba(20k) mpka manz mwenywe(40k).......niwatoe tu wasiwasi jmaa hapa anawatafuna sana hsa wafanyakz na wanachuo hawa masistaduu pigwa sana aisee.

Hii trick inafnya kazi asikwmbie mtu yahn jamaa akishatuma hela unakuwa cool demu ndo anachangamka hatr
 
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu


Midlif Krisis...aahahahhahahahaaaa

Matata K.
 
iyo laki 2 Mkuu, vifaranga vya kuku wa nyama kila kifaranga 1500 vifaranga 20 inakua 1500x30=45000,pesa inayobaki nanunua chakula cha kuku na kujenga banda ujasiliamali unaanzia hapo Boss tusishindane na papuchi siku ya kufa nyani hali wali mkavu
 
Back
Top Bottom