Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Ni hapo utapotuma laki mbili alafu ukianza kupiga au kutuma msg haziwi delivered ila ela ilishatoka kitambo. Ukitaka kubet kabet BIKO, kwa Wahindi hawa na siyo kwa m'mke
Yote maisha
 
The Boss hii ya kuflow naturally sometimes it ain't work that faster. Inachukua muda mrefu, mwezi, miezi nk. Sasa kuepuka lile swali na jam zisizo za lazima unaweza ku-speed up rate of reaction kwa muamala.

Naiona point ya mleta mada, mambo mengine sio ya kucheleweshana muda hautoshi mwamba.
Well kuna sehemu umesema hii strategies inakupa mafanikio 95 percent?
well hii ndo point yangu
unapokuwa unataka mwanamke usiwe obsessed kuwa lazima ufanikiwe
let it flow naturally hata kama hutafanikiwwa
 
Hii njia ni mbovu ni kama unabeti unazipa timu zenye Odd kubwa lazima uliwe
 
Bandiko hili ni uthibitisho tosha kwamba zinaa huleta umaskini.

Unamtumia mtu laki 2 kwa umaarufu gani? Hicho kikojolea tu?
Sema zinaa inaweza kua moja ya kisababishi cha umasikini, kwa hiyo unataka kusema masikini wote wa kipato zinaa ndo imewafikisha hapo?

Easy mkuu ni mambo yanatokea mara moja moja, na ieleweke kua kuna formula nyingi kutegemea na rate.
 
Mwanamke na pesa ni kama paka na samaki. Ila wala sikushangai leo wengi mtasema pesa sio issue ila ukweli uko wazi
I know. All am saying is don't let her think money is not a problem to you even if it is truly not. Hio itakutesa kwa sababu anakuwa na mentality ya kwamba kila akihitaji pesa basi utampa - Rather look for a convenient way to initiate a relationship! Pesa ni muhimu kwenye mahusiano ila zije baadae.
 
Hawa wa hivi wa kupiga tu
 
Sema zinaa inaweza kua moja ya kisababishi cha umasikini, kwa hiyo unataka kusema masikini wote wa kipato zinaa ndo imewafikisha hapo?

Easy mkuu ni mambo yanatokea mara moja moja, na ieleweke kua kuna formula nyingi kutegemea na rate.
Watu wanatumia nguvu kubwa sana kwenye vitu vyepesi
 
Kama ni hivyo, why lose way lot of cash while you could go and buy a whore somewhere and fu***ck em at an almost zero dime cost.
Napenda hawa wa hivi. Halafu hii 200,000 ni mfano tu naona imekuwa issue.
 
Usitu generalize. Unatakiwa uspecify hii njia wana tumia akina nani na kina nani hawapaswi kutumia maana kuna hatari ya watu kujaza pipa la Lita 150 machozi. Tunaona sana wana wanatuma nauli na hawaonekani ni gentlemen inakuwa imetoka; Leo u risk 200k, Hapana!

Mimi nakumbuka kuna broad aliwahi kuniuliza nimetoa wapi namba yake, and I said, "Vodacom wamenipa kama zawadi kwa sababu natumia sana huduma zao". She laughed na kilichofuata ni history.!

Muda mwingine sio hela. Hela inamfanya acheke/afurahi. If you can make her happy, your chances of getting her are alive than the number of people who have died.
Mind you: Ukianzisha mahusiano kwa hela bai basi pattern isibadilike. Ikibadilika tu, You lose her.
Tru story bro,
 
Back
Top Bottom