Dawa ya kurefusha nywele. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kurefusha nywele.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mwinga, Oct 27, 2011.

 1. M

  Mwinga Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Msaada jaman nahitaji dawa ya kurefusha nywele. Napenda sana kuwa na nywele ndefu. Je kuna dawa ya mchina kwa ajili ya kurefusha nywele?
   
 2. s

  shalis JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda pale sh amon ... posta kuna dawa inaitwa kaminomoto ipo kwenye chupa ya kioo ndefu kidogo
  siyo ya china ila ni nzuri san but bit expensive
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo unataka dawa ya mchina tu? Ngoja unyonyoke nywele zote baada ya kutumia hizo dawa ndo utaiona raha ya mchina.
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nywele!!!!!!!!!!!!!! hizi nnazozijua mm??!!!! suka mabutu punguza blich na kubandika les weg!
   
 5. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dawa inategemea na aina ya nywele zako. Tafuta washauri waangalie nywele zako ndio wakushauri.
  Lakini kusuka ni dawa rahisi ya kunarefusha nywele.
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  suka shosti avoid shortcuts zitakucost
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  SH Amon hakuna kitu pale wewe kaa na nywele alizokupa mungu
   
 8. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nilinunua dawa ya nywele hapo nilijutaaaaaaaa.... siingi tena hilo duka
   
 9. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unajua mmea wa ALOVERA???? Kata kama majani yake mawili au matatu - saga kwenye blennder - halafu osha nywele zako ziwe safi - paka maji maji ya alovera ulioysaga - vaa cap yako na funga towel juu yake. - Stay for half an hour - Halafu osha vizuri. Paka mafuta unayotumia kwenye ngozi na suka - rudia tena kila mara unapofumua nywele zako.

  Ukifanya hivyo frequently - nywele zako zitakuwa, zitakuwa strong.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ukuaji wa nywele ni issue ya cell division (haina tofauti na ukuaji wa nwili). Na inahusisha viasili/genes. Kuna chemicals zinatumika kulazimisha cell division, lakini long term effects kansa ni mojawapo (abnormal cell division).otherwise nywele ni majaaliwa,wasaidie wanao kwa kuolewa na mwanaume ambao dada zake wana nywele,lol
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  SH Amon??? Niliwahi kwenda nikawekwa kwenye mashine kuangalia aina ya nywele zangu nikapewa mafuta, madawa ya kutumia kwa gharama kubwa sana lakini hakukuwa na mabadiliko yoyte usiende kabisa hapo
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sha mon ni mazushi dadangu watakulia pesa tu rafiki yangu suka sana nywele ambazo sio ndogondogo tumia steaming nzuri na dawa nzuri pia lakin inategemea na asili ya nywele zako
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mwambie hazbendi wako awe anakuvuta manywele sana wakati wa kiduku cha usiku, wiki 2 tu utakuwa kuliko marehem bob male.
  (haijasibitishwa rasmi, fanya utuletee ushuhuda)
   
 14. M

  Mwinga Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri wenu nitafanyia kazi. Na kuwapa matokeo ni njia ipi ilonisaidia.
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  SH Amon zamani ndio walikua na vitu vizuri sikuizi madudu matupu mie nakupitia mbali nakuona kama kituo cha polisi...
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Zikishakurefuka naomba uniPM.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Dawa zingine zinataka moyo:

  [h=2]Excrement[/h] A number of hair loss treatments over the years have included the use of animal excrement. The Legends of America website notes that people were once told to smear their heads with fresh cow manure to treat baldness or thinning hair. Helium.com notes that the Vikings had a prescription for baldness that called for rubbing goose droppings into the scalp. It reports ancient Egyptians had a hair treatment that used a mix of honey, beer, boiled wheat and goat dung. The website reports that goat dung was added to the mixture in an effort to fool the gods into believing you were a goat to save your hair.
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kama nywele zako ni kama jani la upupu na kipilipili, yani hazikui. Kubaliana na hali halisi tu. Achana na madawa!
   
 19. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Pamoja na yote lazima upate lishe bora, ikiwa na matunda ya kutosha, kunywa maji mengi na fanya mazoezi, hakuna shortcut bali mjumuiko wa mambo mengi utasaidia kuwa na nywele bora. Epuka madawa makali make ukiyaacha tu, utaona mvi nyingi kichwani mwako. Baada ya hapo unakuwa mtumwa wa hayo madawa, huwezi kuyaacha tena.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu lazma unatumia madawa.............LOL
   
Loading...