Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Mwache jamaa azibe mvi zake ataziachia tu akishapata pesa mingi.Mzee baba ushakuwa kijeba,..sali sana ufanye toba,
Achana na mambo za kutafuta dawa ya mvi nyakati hizi..
Mwache jamaa azibe mvi zake ataziachia tu akishapata pesa mingi.Mzee baba ushakuwa kijeba,..sali sana ufanye toba,
Achana na mambo za kutafuta dawa ya mvi nyakati hizi..
Mi nina age sawa na yako naziangalia zaja nasema hiiMimi miaka 36 mvua naona zinajaa, naziangalia tu sijui hata zinatoka wapi
Mimi nimekunywa maziwa toka utotoni lakin mvi zilianza kutoka nikiwa na miaka 19 tu.Jitahidi kula protein kwa wingi hasa maziwa.
Mimi najua ukosefu wa vitamin b 5 ndo unaleta mvi mapema na protein hivyo Kama ukipata hiyo vit itazipunguza mvi, pia ipo kwenye mayai, unaweza kutumia mayai na maziwa. Zingatia kuacha sukari ili usinenepe wakati unatumia.Mimi nimekunywa maziwa toka utotoni lakin mvi zilianza kutoka nikiwa na miaka 19 tu.
Hapo tatizo nini ?
Kwa kwenda na mtizamo wa viongozi na wanachama wa jumuia na vyama vya siasa nchini utagundua kuwa ndugu yetu huyu kwa umri wake bado ni kijana mpevu sana
Samahani mwenzangu, lakini naona nawe umejisahaulisha na kujidanganya. Kaburi halichagui umri, ukiitwa utaitika tu. Wangapi wana mvi kila mahali na wapo mitaani wazima wa afya na walio na nywele nyeusi tiii wamesharejesha number!!!!!Hiyo dalili ya kukaribia kaburi lakini naona unataka kujisahaulisha.
HahahahahahahahahahhaaaaKunywa juisi ya mkaa
Uwe unazipiga kiwi nyeusi kilasiku. Anza kichwani kisha unamalizia kwenye viatu.
Aisee nimecheka kwanguvu mpaka watu wananishangaa hapa ofisiniKunywa juisi ya mkaa
Mwamba hii kitu ni siriaz?Hio ina maana melanocytes zimeacha kuzalisha melanin(rangi nyeusi) kwenye hair follicles ndio maana weusi kwenye nywele haupo.
Tumia majani ya mpera,
Unachuma majani kama kumi hivi unaosha halafu unasaga kwenye blenda au unatwanga,
Baada ya hapo weka maji kijiko kimoja cha chai halafu chuja upate maji ya mpera
Pakaa kichwani na acha kwa saa 1,halafu osha.
Fanya mara 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja utaona matokeo.
Hii kitu ni siriaz mkuu maana mimi niliona maza akifanya hivi na nywele zilirudia weusi ila badae akawa mvivu hakuendelea,Mwamba hii kitu ni siriaz?
Kunywa juisi ya mkaa