Dawa ya kuondoa mapele ya ndevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kuondoa mapele ya ndevu

Discussion in 'JF Doctor' started by Omumura, Jan 5, 2011.

 1. O

  Omumura JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.

  Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Msiba wetu sote ndugu yangu!
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni tatizo letu sote ila lina tatulika mkuu kabisa mkuu uwa na2mia poda fulani ina dawa napewaga na mnigeria ipo safi cku izi ata c2mii cana kama vp nipm 2saidiane mkuu
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  tupo wengi mkuu
  mwenye kujua atujulishe ila mimi huwa situmii gillete..natumia shaving mashine...nikikusa gilette tu nimekwisha
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mmmh jamani huu ndo ugonjwa wangu mkuu, NIMEMALIZA dawa zote, kilichonisaidia kidogo nilinunua mashine kama ya saluni nimeitumia, ikaibwa mota, nikanunua nyingine elfu sabini, juzi mtoto kaiangusha imeharibika, nimenunua bump patrol, mmh maendeleo madogo! sasa nanyoa daily kisha ndo napaka hio bump control! pls nisaidieni pia
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kuna mtu alikuwa na vidonda wala si vipele,nkamshauri sana atumie dawa flani kunyolea akawa mbishi eti atapata kansa ya ngozi. Aliporudi kwao Karatu mzee wake akaogopa na kumkimbiza hosp. ,cha ajabu dokta alimueleza kuwa anachubua ngozi wakati wa kunyoa ivo ndevu zikianza kuota zinasabisha infection ndo maana ana vipele! Dr.akamwandikia dawa ile ile niliyomwandikia akanyolee,fasta akavuta cm kantwangia akiwa na dk.yule dk akanieleza ile kitu na nkamwambia dr kuwa dogo mbishi nshamdirect,dogo akaja mpaka magomen dar nkampeleka pale niliponunua,leo ni mwezi wa 5 tangu atulie,na ukimwona leo utadhani hajawahi kuwa na kipele,handsome. Mi siipost hapa najua kuna wabishi wengi,atakaetaja aniPM. Siku njema.
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  duh!
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Bump Patrol za sasa hivi nahisi zinachakachuliwa. Mwanzoni wakati zinaingia zilikuwa effective sana lakini haya matoleo ya sasa ni kama spirit tu ya kawaida!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Jaribuni Spirit!
   
 10. t

  toyoyobig Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni sana wanyoa ndevu wenzangu. Mimi nilikuwa natatozo hilo lakini niliamua achana na viwembe vya kunyolea including gillete wanatyo sema ni nzuri, kwa sasa natumia mashine ya kunyolea, kwa sasa tatizo hilo limekwisha kabisa. nikitumia mashine sipati kipele hata kimoja.
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  wazee hili ni janga la kitaifa . embu tusaidiane kuambiana tutumie kitu gani ili tuondokane na huu usumbufu wa vipele vya ndevu.
   
 12. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kwani inakuaje ukitumia magic powder
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  nilikuwa mtumiaji mkuu wa aftershave nikidhani zinaondoa vipele, wife alinishauri niache hata kwa miezi miwili nione. Vipele vikaisha.

  Mara nyingi ninanyoa saloon kwa magic na napata scrubbing na sipaki after shave kabisa na ninaponyoa kwa gillete ni lazime iwe na makali, isiwe butu maana ikiwa butu lazima vipele vinatoka, na kabla ya kunyoa ninanawa maji ya moto au vuguvugu kidogo na kupaka sabuni ya kuogea. nikimaliza sipaki aftershave kabisa.

  Sina kipele hata kimoja, I have a very good baby face.
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  whats the point ya kuweka hii post kama jibu mpaka uwe pm'd.itaje tuelimike wote.mimi natumia machine nikigusa wembe tu ni vipele,shida inakuja pale ninapokuwa bush hamna umeme,nikijaribu kiwembe tu nakuwa kama kuku aliyenyonyolewa bila maji ya moto,with my whal machine nakuwa na ngozi soft obama kasingiziwa
   
 15. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Isisahaulike option ya kutokutumia wembe au mashine kabisa. Sio lazima uwe Osama - unaweza kupunguza kwa mkasi.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  hatuku pm wala nini kaa na mdawa wako huko..dawa za mitishamba hizo nani anazitaka?
   
 17. c

  chelenje JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukinawa kwa maji moto baada ya kunyoa inasaidia sana,wembe noma tumieni mashine tu
   
 18. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mkuu unatumia wembe ? kama unatumia wembe acha tumia mashine kama wanazotumia vinyozi. baada hapo pakaza B&C SKIN TIGHT ni kiboko hii kesho yake tu ukiamka utaona tofauti.endelea siku mbili tatu vitapotea kabisa acha kutumia siku ukikata ndevu tena pakaza kidogo hivyo hivyo na utaona tofauti yake.
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ninalo jibu la tatizo hili 100% . . . . Will come back shortly . . .
   
 20. m

  makeke Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UMepiga panapotakiwa kaka, dawa nzuri ni kupunguza kwa mkasi au machine ziwe chini kama hutaki kuwa kama osama na gharama ni ndogo sana
   
Loading...