Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

kunywa maji mengi kabla ya kulala na ukiamka asubuhi piga angalao lita moja ya maji.
 
Dawa ya hang over ni rahisi sana, ukiamka nazo tafuta muwa wa kutosa tafuna na majibu utayapata ndani ya nusu sa tu. Jaribu kesho nawe utakubari maneno yangu.
 
kunywa maji mengi kabla hujalala...utaona maajabu yake na utafurahia kinywaji chako
 
Ukishatoka tu kwenye iyo mi -larger kunywa maji kama lita3 ivi! Baada ya apo lala na ikitokea siku ya 2 ukaamka na hiyo mihangover,,,,basi acha kabisa kunywa hizo pombe!
 
Kuacha ni sawia lakini kama ana hiyo hang over cha kufanya
Kunywa maji mengi sana hapa unakuwa uadilute kiasi cha alcohol uliyoingiza kwenye mwili wako kwa kuwa ulidepress Central Nevous yako inabidi ustimulate hiyo Central Nevous kwa kahawa nyingi ambayo haina sukari. wazamani watakumbuka pwani kulikuwa na wauza kahawa wa buli...Lazaidi ni kuacha
 
Asanteni kwa ushauri wenu naona kama wengi wenu wamenishauri ninywe maji mengi basi nitafanya hivyo!
 
Si uachane tu na pombe, mwisho utashindwa hata kazi ya chumbani watamchukua wenzio ati.
 
Si uachane tu na pombe, mwisho utashindwa hata kazi ya chumbani watamchukua wenzio ati.

Huu ushauri wa kuacha kabisa kunywa pombe ni mgumu kama ilivyo-kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano......kushtua muhimu
 
Maji mengi ndiyo jibu sahihi! Lakini kwa matokeo bora zaidi, kabla ya kulala piga mswaki (hakikisha unasukutua kinywa chako vizuri) na baada ya hapo kunywa maji ya kutosha, you will tell me! Nilikuwa ni miongoni mwa wahanga wakubwa wa Hangover lakini njia hii imenifanya nimesahau kabisa tatizo hilo.
 
Wakuu msinicheke,haraka tafadhari nifanye nini manake hali bado ni mbaya.nimeambiwa ninywe maji mengi,mara supu au niongezee kama chupa mbili.
Mnasemaje
 
Kwa leo fanya uliyoambiwa ila next time kunywa kiasi ili zisikutese....
Bora kinga kuliko tiba...ndovu mbili saaaafi
Unaamka km hukunywa mwanangu......
 
Back
Top Bottom