Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

dawa ya hang over ni kushiba na kunywa maji tu then unapiga na bia moja tu then unapumzika tu. poleni manchester...barca ile inacheza soka la sayari nyingine.
 
Powered nunua ya blue...
ni PM matokeo... kila lakheri Rev.
 
Dawa nyingine zote uloambiwa hazina 100% protection kama kuacha kabisa kilevi, mbona kuna watu hawatumii na wako health?
 
<br />
<br />
Ooh hapo sawa maana umenistua kweli Mama Mchungaji kabadirika sana siku hizi mie simuelewi kabisa siumeona hata misa nahudhuria town tegeta tena mmmhhh

She's expecting twins ndo sababu kubwa!
 
pata mtindi 500MLS na kisha chai ya motot sana

utaharisha halafu ukanywe chai ya maziwa na msosi baada ya half hour pata anti pain unakua umepona tayari kwa kuanza mipombe teba
 
Mchungaji hapo dawa pekee ni kurudi kuendelea kutandika ze laga till down kesho utaamka fresh kabisa!!
 
Wapwaz

Msaada wa kuondoa hangover! Jana baada ya kuona uchawi wa Genius Messi, nimejitunga kilaji na jamaa Mpaka asubuhi. Nipo Kama mgonjwa supu haipandi natamani kuendelea na unywaji. Dawa nifanyaje?

Nilikuwa najiuliza mbona Reverend sijamuona kulee spoti kumbe ulikuwa chicha..bwana eeh Messi ni noma!..huwa nawaza kama ana gf nadhani anawaza f/ball muda wote hata kwenye maongezi🙂)
Pole kwa hangover..angalia movie ya 'the hangover II ' hiyo hangover yako itaisha...ha ha ha
 
dah, pole sana sweetheart... messi alianza na mercy kisha akamalizia na mecriless

Nilikua napita nakucheki unavyogugumia nikaamua sichangii.... KAMATA MWIZI ME'EN YA FERGIE JANA ILIPATA MKIMBIZAJI

Dawa ya hangover ni "cha asubuhi"
 
Thanks my dear, jana ilikuwa siyo kabisa..yani tulifunzwa mpira unavyochezwa, nimeamka bado nawaza hivi 'ilikuwa for real kile kichapo'...
Fergie mwenyewe kaifagilia Barca mana mziki wake aliuona..yani 2009 na 2011 fainali wametutungua,agrrrr!!

Sasa 'cha asubuhi' kama wengine hawana? suluhisho lingine la hangover ni nini? ha ha ha
 
Kunywa pombe tu ila si kiwango kikubwa utakuwa umezimua, soup ya samaki pia inasaidia
 
Back
Top Bottom