Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Kula ndizi mbivu 2.Wakuu msinicheke,haraka tafadhari nifanye nini manake hali bado ni mbaya.nimeambiwa ninywe maji mengi,mara supu au niongezee kama chupa mbili.
Mnasemaje
Kula ndizi mbivu 2.Wakuu msinicheke,haraka tafadhari nifanye nini manake hali bado ni mbaya.nimeambiwa ninywe maji mengi,mara supu au niongezee kama chupa mbili.
Mnasemaje
kula ndizi mbivu...tafuta tonic baridiii...kamulia na kipande cha ndim/limao....DRINK RESPONSIBLY...
inaonyesha wewe ni member,safi sana
Dah dogo hili somo jipyakula ndizi mbivu...tafuta tonic baridiii...kamulia na kipande cha ndim/limao....DRINK RESPONSIBLY...
Another beer. . .a.ka. KUZIMUA.
Kweli wewe ni Asprin,dozi yako inafaa kama jina lako
Lizzy nawe upo,nilijuwa wewe ni mpendwa,aka mwana kondoo.but tajaribu
Dawa ya moto ni moto. Kama uko kibaruani, kamata sicksheet njoo hapa Fyatanga tuendelee kugida. Dawa ya ming'inio ni kuendelea kuutwika.
Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa!!!