Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,451
- 4,655
ndio maana niliachaga.
Hakuna raha duniani kama kuweza kuacha pombe. yaani najiweka kwenye nafasi yako nakuonea huruma sana.
Acheni pombe jamani.
hasara za Pombe.
Please kama your only source of income ni mshahara na unakunywa 24/7. unakoenda siko. Try and evaluate yourself again.
Hakuna raha duniani kama kuweza kuacha pombe. yaani najiweka kwenye nafasi yako nakuonea huruma sana.
Acheni pombe jamani.
hasara za Pombe.
- Matumizi- kwanza beer imepanda bei. ukiwa na elfu tano utapata hardly beer 3. kwa wale walevi kama mimi nilivyokua beer tatu ni kama umechokoza kiu so lazima upige atleast 5. Kipato chako kinaruhusu? Pombe will never allow you to think on that line. Ukitaka kukosana na mnywa pombe anza kumpigia mahesabu jinsi pombe inavyokula hela. kwa mfano. Kila siku unakunywa atlest beer tatu na umeanza kunywa for the last five years. nasema atleast beer 3 coz kuna siku hunywi na kuna siku unakunywa tano and above huku unatoa offer. ju,la hiyo miaka mitano utakua umetumia (1,600x3)x365x5=8,760,000/= minimum expenditure
- Pombe pia inazeesha haraka. ukiangalia sana uso wa mnywaji na asie kunywa halafu wawe rika moja you will see a difference. huyu mlevi ataonekana kama vile amemzidi mwenziye kiumri.
- Wengine wakinywa pombe zinashuka huku chini- you know what I mean
- Unakosa muda wa kufanya issue zako za kimaendeleo.
- unakua mtumwa wa pombe
- hangover asubuhi kazini
- Ajali- nimeona ajali nyingi za ulevi zinatia huruma, Kuna bwana mmoja alikua afisa Ardhi mjini Iringa, siku moja nilimkuta amelewa vibaya anaendesha gari kwa kujiamini sana barabarni alikua anjiona yeye ndio yuko perfect kwa kila analo lifanya. Kumbe alikua anaelekea bar ambayo nilikua naenda mimi pia. nilibahatika kuka naye meza moja nikampa tahadhari za ulevi na kuendesha gari, jamaa aliniambia huwa akilewa ndio anakua stable zaidi barabrani. my God after a month nilisikia aliingia chini ya lori wakati anatoka mafinga usiku huku amelewa, jamaa aliishia pale pale. R.I.P my friend.
- Ugomvi nyumbani.
- The list is Endless.
Please kama your only source of income ni mshahara na unakunywa 24/7. unakoenda siko. Try and evaluate yourself again.