kumbe ni kwa maslah yako na c watanzania kama ulivoeleza kwenye thread yako
Hii habari ya Temeke ilinikumbusha zamani sana,miaka ya tisini hv.Kuna baba mmoja alimgandisha mke wake,alipoitwa akadai jamaa atoe milioni sita!Kwa hiyo unaweza ukapata kahela kidogo katika zoezi hili!!!!!!!!!!!!!!!Uzinzi utatumaliza.
Watu wengine sijui mmeumbwaje. Hivi wewe leo hii ukikengeuka akili zikakutoka ukashindwa kuona tofauti yako wewe mwanadamu na nguruwe na kuanza kufanya ufuska, nani anaiaibisha familia?
Au ni haki yako kufanya fanya wake za watu?
Yaani imefikia sasa hata hamuoni haja ya kuficha tabia zenu. Unakuja hapa kutetea ujinga. Mimi nasema bora ilivyopatikana ya kukamata wanaume pia. Watanzania tumekuwa kama wanyama, yaani ngono kila kona hata aibu wala staha hakuna. Hakuna anayejali kama kaoa wala kuolewa, ni kuvua nguo kama nguruwe.
Nguruwe na mbuzi ndio wanapandanapandana hovyo bila kujali huyu ni mama au dada yake. Sasa wewe unayetoka nje ya ndoa yako ni sawa tu na nguruwe kwa hiyo sioni unachodhalilishwa ikiwa mwenyewe umeamua kuwa nguruwe wa maadili.
Jamii ikielimika itaacha ufuska. Napinga ufuska, hamna adabu watoto wa leo, wanawake wamefanya matobo yao kama dust bin, kila mwenye uchafu wake atumbukize humo. Na wanaume wamekuwa mbuzi, wakiona uchi tu mihemko hata akili hazina staha tena, pambaf.
Hiyo dawa ishushwe bei, kila familia ipate ******* zenu
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?
Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?
Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
CAY ni sawa ila hata wewe utaona aibu kwa kujipatia mali kutokana na kumgandisha mkeo kwa Juma au Jakobo! Siku ukiulizwa kwamba mali ulizipataje utajibu nini?
Sasa hasa sisi wasomi tuanze kushabikia ushirikina? Hii jamii manake tunairudisha kwenye karne ya 13!
Hao wasomi ndio wabaya sana.Wadada warembo ukiwakagua kwenye pochi zao kumejaa hirizi..Kuna kipindi hadi bungeni kulimwagwa unga wa kichawi kwenye kiti cha mheshimiwa nimesahau jina.. Wasomi wengi wanagongana kwa waganga
Hapo hakuna aibu,ni kutoa tu fundisho kwa wale wanaomezea waume/wake za watu.Hakuna kitu kibaya kama hicho.Hii itafanya kuwe na ka-uoga kidogo na italeta discipline.
Mi siwezi kufanya hivyo, wala kufikiria kwenda kwa Mganga! Cha msingi hapa ni kwamba kama mke au mme huwezi kuishi nae, bora muache maana ukimgandisha watu watasema wewe ndo mchawi.. Mtu huwezi kujitetea kwamba umekwenda eti kwa Mganga, maana anaekwenda kwa Mganga nae ni mshirikina
Hapa ni katika kutafuta ushahidi halisi/vielelezo na siyo kumwacha mtu kwa sababu za kimazingira.
Ndiyo maana matangazo ya waganga wa kienyeji yametapakaa karibu kila kona ya Dar na kwingineko nchini.
Inavyoelekea idadi ya watu wanaohitaji msaada wao ni kubwa la sivyo hata hayo matangazo yasingekuwepo.
Binafsi siamini na sidhani kabisa kuwa kuna dawa inayoweza kuwagandisha wazinzi wawili walioamua kuzini.
Hayo yanayodaiwa kutokea Temeke ni yale yale tu yaliyodaiwa kutokea huko huko Temeke mwaka 1987.
Mwaka huo ilidaiwa kuna bwana mmoja aliwekewa dawa ya mapenzi na mkewe kwenye maji ya kuoga na akabadilika akageuka kuwa mtu chatu.
Hakukuwa na uthibitisha wowote ule zaidi ya maneno tu ya watu. Na haya ya waliogandana nayo ni hivyo hivyo. Hakuna uthibitisho. Ni maneno ya uzushi tu.
Chatu buguruni bana lol
Chatu buguruni bana lol
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?
Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?
Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
Hivi ilikuwa Buguruni eeh? Lakini Buguruni iko wilaya gani? Ya Ilala?
maskini! yaani sisi ambao wake zetu wanafanya kazi si unajua asubuhi tunatoka wote kwenda kazini halafu mida ya saa nne tunarudi kutabaruk kidogo na hg halafu tunarudi kazini fasta.sasa tukiganda ndo itakuwa je sasa?Mi ndo inanitetemesha hiyo kabisa labda wake zetu wakazane sana hapo