Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

maskini! yaani sisi ambao wake zetu wanafanya kazi si unajua asubuhi tunatoka wote kwenda kazini halafu mida ya saa nne tunarudi kutabaruk kidogo na hg halafu tunarudi kazini fasta.sasa tukiganda ndo itakuwa je sasa?

Hapa dawa ni kuganda kwa mkeo ili akienda kwa mganga unagandana nae yeye....tehe tehe tehe
 
Iyo dawa inafaa sana tena n nzur, wanayoikataa ni wale wenye tabia chafu za kutembea na wake na waume za watu

tuache hizo imani za kishenzi. Acha kushabikia upuuzi. Walaaniwe wote wanaoamini na wenye roho za kutaka kufanya huo ushenzi. Pamoja na wewe.
 
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?

Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?

Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
Mbona unaonekana kuogopa sana au housegirl mashaka nini mkuu....................Kwani hiyo dawa inagandisha kwa kushikana mikono si kwa kusaliti ndoa zetu, binafsi naitafuta niiweke kwa waifu kwani vijana wengi wasio wastaarabu wamefunga mitaala na ndoa za watu......Kiroho safi hiyo dawa ipewe support na serikali kama zilivyo dawa za ARV na Maleria ili wagoni wakamatwe...huu ni mtazamo wangu
 
Nitafanya juhudi niwagandishe wakuu wote wala rushwa ya ngono......! Angalau tutakuwa tumeweza hilo....!
 
Mbona unaonekana kuogopa sana au housegirl mashaka nini mkuu....................Kwani hiyo dawa inagandisha kwa kushikana mikono si kwa kusaliti ndoa zetu, binafsi naitafuta niiweke kwa waifu kwani vijana wengi wasio wastaarabu wamefunga mitaala na ndoa za watu......Kiroho safi hiyo dawa ipewe support na serikali kama zilivyo dawa za ARV na Maleria ili wagoni wakamatwe...huu ni mtazamo wangu

Una mtazamo wa kushabikia ushirikina?
 
Hivi zile story za mtu aliota manyoya mwili mzima pale Salenda Bridge ziliishaje tena..!!?tafakuri
 
Hyo dawa ni kudhalilishana tuu hamna la zaidi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo kwenye blue kuoa au kuolewa maana yake ni nini? Jibu=ni kufanya ngono tena ngono nzembe- Sasa if that is a case, why are u critising others

Acha uzembe wa mawazo mkuu. Kufanya mapenzi na mwenza wako sio ngono zembe. Mimi sioni unawezaje kufananisha kufanya mapenzi na mwenza wako wa ndoa na kufanya umalaya nje ya ndoa yako. Hivyo ni vitu viwili tofauti, unless you are one of them.

Na naona tayari one of your kind amekupa like kwa kuongea 'kitu cha maana'
 
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?

Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?

Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.

sasa wee unaona tuwafanyaje wanoenda kumegwa na kumsga nje ya ndoa???

unajua mwana inauma sana acha tuu tena wangetengeneza ambayo dushelele linakatikia humo kwenye K
 
Sasa hasa sisi wasomi tuanze kushabikia ushirikina? Hii jamii manake tunairudisha kwenye karne ya 13!

Kwa hiyo ushirikina ni wa karne ya 13? Well then, na uzinzi ni wa karne ipi?

Kumbe ni aibu kwa msomi kushabikia ushirikina lakini ni farahi kushabikia UZINZI. Mimi siiogopi kwa kuwa najua sipo katika mazingira ya kukamatwa katika hilo kwa hiyo naamini wanaoipinga kwa nguvu wana wanachoogopa.

Askari anayelinda geti la mwarabu anakusumbuaje wewe unayeishi mtaa wa tatu ikiwa huna nia ya kwenda kwa mwarabu kuiba bana!
 
Back
Top Bottom