Mkuu Wiyelele, wewe umechukizwa na ufuska katika muktadha wa MKE vs MUME na point yako ikawa ni mtegaji anaiaibisha familia. Mimi nimekurudisha kuwa ni mama yako mzazi huyo ndio mwenye kubanduliwa hovyo hovyo na ujue mitaani hakuna siri. Je utaachana na mama yako?
Kwa hiyo jibu hapo ni kwamba, mfanya uhuni ndio uwaaibisha wenzake. Sisemi kwamba TEGO ndio dawa, la hasha, lkn kwa hali ilivyo sisiti kusema kuwa kila mtu angejua kuwa kategwa, uhuni ungepungua.
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?
Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?
Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
Mwana Mtoka Pabaya umeongea kwa hasira sana. Hapa kuna mambo mawili. Jamii ielekeze nguvu kwa kuelimishana kuhusu madhara ya ufuska badala ya kukimbilia kwa waganga wa jadi. Maana hili tunaliona kama ni jambo dogo ila madhara yake yatakwenda hata kwenye elimu, kazi ambapo kama mtoto hana akili, atakwenda kwa mganga amuoteshe mtihani.
Pia hili la kugandisha sio nzuri kabisa, watu wakiganda kama 100 hivi, image ya Tanzania itakuaje? Hapa kazi ni kuwasaka waganga hawa wote wakamatwe maramoja li kulinda heshima ya Watanzania. Tena haya mambo yanafanyika Salidalama, tukianza huku Mpitimbi kwetu hali itakuwa mbaya sana.
Yaani uzinzi uufanye wewe eti aibu ije kwa familia...tena nafikiri kama hiyo dawa ipo basi na kusiwepo na dawa ya kunasua
du! na wawa ma HG wengi tutagandana nao. aisee!sijui itakuwa je!Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?
Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?
Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
Mimi nadhani umefika wakati watu waache zinaa kwani kwa kufanya hivyo hawampendezei muumba. Whether kwa technology au kwa uchawi, inabidi watu waache zinaa jamani.Sawa lakini hapo mwanaume si atakufa? Imagine kama ndo yamekupata wewe! Haya mambo tusiyachukulie kimzaha!
Hahahaha! Umeshikwa pabaya bro! Nakumbuka thread zako za watoto wako kwa Mke wa mtu, na pia uzuri wa HG wako dhidi ya Mkeo! Pole dawa ipo, dawa acha hayo mambo
Mwana Mtoka Pabaya hapo umeniweka kitanzini kutolea mfano wa mama yangu ambaye nimefikiria sana kukujibu. Mama ni Mama, ata akiwa mbaya huwezi kumupiga chini kwa vile ukikumbuka ulivyo kaa tumboni mwake wewe mwenyewe unafikiria mara mbili. Tuchukulie mfano huo wa mama, sasa iwapo baba ndo kamtega Mama, je utamsamehe huyo baba wako?
Mimi nadhani umefika wakati watu waache zinaa kwani kwa kufanya hivyo hawampendezei muumba. Whether kwa technology au kwa uchawi, inabidi watu waache zinaa jamani.
Mimi nadhani umefika wakati watu waache zinaa kwani kwa kufanya hivyo hawampendezei muumba. Whether kwa technology au kwa uchawi, inabidi watu waache zinaa jamani.
Kuna circumstances ambazo huwezi kuzikwepa Binti.com. Sasa ukiingia bahati mbaya ndo ugandishwe?
Kwamba umebakwa au unamaanisha nini kuingia kwa bahati mbaya?
Ambaye sitamsamehe ni mama. Hivi mbona hii inakuwa complex kwako mkuu, ngoja niweke mfano mwingine labda utanielewa: MIMI NIMEWEKA MTEGO KWAMBA MTU AKIKOJOA PEMBENI CHOONI NA ASISAFISHE ATABABUKA. SASA WEWE UKITOKA CHOONI UMEBABUKA NI MIMI NDIO NITAKUWA NIMEKOSEA KUWEKA MTEGO AU WEWE UMEKOSEA KUCHAFUA CHOO NA USISAFISHE?
Mfano, umesafiri kama wiki tatu hivi uko Tanga au Kagera. sasa akajitokeza mwanamke mzuri na wewe hujui kwamba ameolewa na ukalala nae tena usiku mmoja tu! Na hapohapo ukaganda, si hiyo ni bahati mbaya?
Hapo wana JF wanisaidie kujibu mkuu!
kumbe ni kwa maslah yako na c watanzania kama ulivoeleza kwenye thread yakomoto2012 ndo maana naogopa maana mke wangu akienda kuitafuta hiyo dawa tu, itakuwa kwishnet yangu!
ha ha ha ha ha!!mi yangu macho!!Si kibosi chake keshakwambia.
Mimi mwenyewe nina hasira ya mtaa mzima. Juzi hapa Boda Boda kamfumania mke wake na muuza duka. Saa 12 alfajiri watu wameshaamka wanafanya uhuni, huoni hatari hiyo.
Hii dawa ilibidi twende nayo kwa kasi ile ya KIKOMBE CHA BABU