Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Likes
1
Points
133
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1 133
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?

Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?

Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,147
Likes
9,871
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,147 9,871 280

Watu wengine sijui mmeumbwaje. Hivi wewe leo hii ukikengeuka akili zikakutoka ukashindwa kuona tofauti yako wewe mwanadamu na nguruwe na kuanza kufanya ufuska, nani anaiaibisha familia?

Au ni haki yako kufanya fanya wake za watu?

Yaani imefikia sasa hata hamuoni haja ya kuficha tabia zenu. Unakuja hapa kutetea ujinga. Mimi nasema bora ilivyopatikana ya kukamata wanaume pia. Watanzania tumekuwa kama wanyama, yaani ngono kila kona hata aibu wala staha hakuna. Hakuna anayejali kama kaoa wala kuolewa, ni kuvua nguo kama nguruwe.

Nguruwe na mbuzi ndio wanapandanapandana hovyo bila kujali huyu ni mama au dada yake. Sasa wewe unayetoka nje ya ndoa yako ni sawa tu na nguruwe kwa hiyo sioni unachodhalilishwa ikiwa mwenyewe umeamua kuwa nguruwe wa maadili.

Jamii ikielimika itaacha ufuska. Napinga ufuska, hamna adabu watoto wa leo, wanawake wamefanya matobo yao kama dust bin, kila mwenye uchafu wake atumbukize humo. Na wanaume wamekuwa mbuzi, wakiona uchi tu mihemko hata akili hazina staha tena, pambaf.

Hiyo dawa ishushwe bei, kila familia ipate ******* zenu
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,088
Likes
368
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,088 368 180
Ujinga ni reletive term
Kilichoharamu Iraq halali Roma
 
Hayajamani

Hayajamani

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
883
Likes
12
Points
35
Age
38
Hayajamani

Hayajamani

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
883 12 35
Kibaya ni kuamini huo uvumi/ujinga wa kwamba eti kuna dawa ya kugandisha na watu wanaacha shughuli zao na kwenda kushuhudia jambo ambalo halipo. Jamii yetu bado tu wajinga wa kufundishwa kwa vitisho, cha msingi ni watu kuelewa na kuacha kutembea na wake au waume wa watu wengine. Ila uongo wa kusema kuna kugandisha au kuamini kuna kugandishwa ni upuuzi na uzushi. Tuache habari za kutekenya masikio
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,147
Likes
9,871
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,147 9,871 280
Wiyelele, una akili ya kuwaza au unajua tu kuongea? Umeshajiuliza kila mtu angekuwa kama wewe maisha yangekuwaje?

Mimi nataka kila mmoja wenu (wenye kupenda tabia za ngono hovyo) ajiulize swali hili:
Wote tuna mama (mzazi wa kike). Sasa jiulize kama wakati una miaka around 20/25, mama yako mzazi awe anafanywa leo na jirani huyu, kesho yule. Leo kafanywa na mpishi wa shule, kesho dereva wa lori la mkaa, yaani yeye ndio amepata hii haki ya kuwa huru kufanywa weeeeee kadiri anavyojisikia. Upande wa pili, baba yako naye, leo kamfanya mchumba wako (wewe), kesho katembea na muuza uji wa mchele, mara kampa mimba fundi cherehani n.k. Hii ndio haki mnayoitaka? Kama mtoto mkubwa ambaye tayari una ufahamu na hao ndio wazazi wako, unajisiaje?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,395
Likes
38,574
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,395 38,574 280
kwa jinsi hiki kibosi changu kizungu kilivyo kinoko, ninekiwekea tego, kikienda kwa machangu wake kinase hukohuko na kitolewe kwenye the Guardian front page
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Likes
1
Points
133
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1 133
Watu wengine sijui mmeumbwaje. Hivi wewe leo hii ukikengeuka akili zikakutoka ukashindwa kuona tofauti yako wewe mwanadamu na nguruwe na kuanza kufanya ufuska, nani anaiaibisha familia?

Au ni haki yako kufanya fanya wake za watu?

Yaani imefikia sasa hata hamuoni haja ya kuficha tabia zenu. Unakuja hapa kutetea ujinga. Mimi nasema bora ilivyopatikana ya kukamata wanaume pia. Watanzania tumekuwa kama wanyama, yaani ngono kila kona hata aibu wala staha hakuna. Hakuna anayejali kama kaoa wala kuolewa, ni kuvua nguo kama nguruwe.

Nguruwe na mbuzi ndio wanapandanapandana hovyo bila kujali huyu ni mama au dada yake. Sasa wewe unayetoka nje ya ndoa yako ni sawa tu na nguruwe kwa hiyo sioni unachodhalilishwa ikiwa mwenyewe umeamua kuwa nguruwe wa maadili.

Jamii ikielimika itaacha ufuska. Napinga ufuska, hamna adabu watoto wa leo, wanawake wamefanya matobo yao kama dust bin, kila mwenye uchafu wake atumbukize humo. Na wanaume wamekuwa mbuzi, wakiona uchi tu mihemko hata akili hazina staha tena, pambaf.

Hiyo dawa ishushwe bei, kila familia ipate ******* zenu
Mwana Mtoka Pabaya umeongea kwa hasira sana. Hapa kuna mambo mawili. Jamii ielekeze nguvu kwa kuelimishana kuhusu madhara ya ufuska badala ya kukimbilia kwa waganga wa jadi. Maana hili tunaliona kama ni jambo dogo ila madhara yake yatakwenda hata kwenye elimu, kazi ambapo kama mtoto hana akili, atakwenda kwa mganga amuoteshe mtihani.

Pia hili la kugandisha sio nzuri kabisa, watu wakiganda kama 100 hivi, image ya Tanzania itakuaje? Hapa kazi ni kuwasaka waganga hawa wote wakamatwe maramoja li kulinda heshima ya Watanzania. Tena haya mambo yanafanyika Salidalama, tukianza huku Mpitimbi kwetu hali itakuwa mbaya sana.
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Likes
1
Points
133
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1 133
Wiyelele, una akili ya kuwaza au unajua tu kuongea? Umeshajiuliza kila mtu angekuwa kama wewe maisha yangekuwaje?

Mimi nataka kila mmoja wenu (wenye kupenda tabia za ngono hovyo) ajiulize swali hili:
Wote tuna mama (mzazi wa kike). Sasa jiulize kama wakati una miaka around 20/25, mama yako mzazi awe anafanywa leo na jirani huyu, kesho yule. Leo kafanywa na mpishi wa shule, kesho dereva wa lori la mkaa, yaani yeye ndio amepata hii haki ya kuwa huru kufanywa weeeeee kadiri anavyojisikia. Upande wa pili, baba yako naye, leo kamfanya mchumba wako (wewe), kesho katembea na muuza uji wa mchele, mara kampa mimba fundi cherehani n.k. Hii ndio haki mnayoitaka? Kama mtoto mkubwa ambaye tayari una ufahamu na hao ndio wazazi wako, unajisiaje?
Umeelezea vizuri sana na nimekuelewa, ila mtu kama hashikiki dawa ni kuachana nae na si kumgandisha. Chukulia mfano kama kweli ndo mtu anatabia hizo na mlolongo wa watu hao katembea nao, na iwapo kila mmoja anako kachupa ka kugandisha, je huyo mtu atagandishwa mara ngapi?? Lazima hapa elimu itembee ili tuingie sayansi ya kweli na si sayansi ya kishirikina. Tuache ushabiki wa kishirikina.
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Likes
1
Points
133
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1 133
kwa jinsi hiki kibosi changu kizungu kilivyo kinoko, ninekiwekea tego, kikienda kwa machangu wake kinase hukohuko na kitolewe kwenye the Guardian front page
Sasa hasa sisi wasomi tuanze kushabikia ushirikina? Hii jamii manake tunairudisha kwenye karne ya 13!
 
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
958
Likes
281
Points
80
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
958 281 80
Wakigandishana nani anaenda kuwatenganisha? nasikia naniii.....inakatwa inabaki faida kwa mwanamke
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Likes
1
Points
133
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1 133
Usiseme ujinga wakati ukienda kule Temeke watu wako busy kumsaka mganga ili awape dawa ya kugandisha! Hii ni desturi potofu sana tukianza kujiingiza kwa mambo ya kiushirikina.
 
Sawa lakini hapo mwanaume si atakufa? Imagine kama ndo yamekupata wewe! Haya mambo tusiyachukulie kimzaha!
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,102
Likes
7,422
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,102 7,422 280
kwa jinsi hiki kibosi changu kizungu kilivyo kinoko, ninekiwekea tego, kikienda kwa machangu wake kinase hukohuko na kitolewe kwenye the Guardian front page
Bujibuji!hicho kibosi chako ni ki nani chako hadi ukitafutie kugandana!!maana wanaotafutiana hivyo ni mke na mme!!hebu nitoe tongotongo!!
 
Last edited by a moderator:
Chauro

Chauro

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
2,969
Likes
19
Points
135
Chauro

Chauro

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
2,969 19 135
yah ndio maana kwangu ni ujinga kitendo tu cha kuanza kupeleka miguu yangu kwa mganga nipewe na masharti juu ni ujinga ina maana na huyo mwenza/mpenzi nilimtafuta kwa njia ya ushirikina na kumnasua nako nahitaji ushirikina hayo ni mapenzi au ulonzi ajisemee gsonwin.

Usiseme ujinga wakati ukienda kule Temeke watu wako busy kumsaka mganga ili awape dawa ya kugandisha! Hii ni desturi potofu sana tukianza kujiingiza kwa mambo ya kiushirikina.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,147
Likes
9,871
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,147 9,871 280
Umeelezea vizuri sana na nimekuelewa, ila mtu kama hashikiki dawa ni kuachana nae na si kumgandisha. Chukulia mfano kama kweli ndo mtu anatabia hizo na mlolongo wa watu hao katembea nao, na iwapo kila mmoja anako kachupa ka kugandisha, je huyo mtu atagandishwa mara ngapi?? Lazima hapa elimu itembee ili tuingie sayansi ya kweli na si sayansi ya kishirikina. Tuache ushabiki wa kishirikina.
Mkuu Wiyelele, wewe umechukizwa na ufuska katika muktadha wa MKE vs MUME na point yako ikawa ni mtegaji anaiaibisha familia. Mimi nimekurudisha kuwa ni mama yako mzazi huyo ndio mwenye kubanduliwa hovyo hovyo na ujue mitaani hakuna siri. Je utaachana na mama yako?

Kwa hiyo jibu hapo ni kwamba, mfanya uhuni ndio uwaaibisha wenzake. Sisemi kwamba TEGO ndio dawa, la hasha, lkn kwa hali ilivyo sisiti kusema kuwa kila mtu angejua kuwa kategwa, uhuni ungepungua.
 
Last edited by a moderator:
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,147
Likes
9,871
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,147 9,871 280
Bujibuji!hicho kibosi chako ni ki nani chako hadi ukitafutie kugandana!!maana wanaotafutiana hivyo ni mke na mme!!hebu nitoe tongotongo!!
Si kibosi chake keshakwambia.

Mimi mwenyewe nina hasira ya mtaa mzima. Juzi hapa Boda Boda kamfumania mke wake na muuza duka. Saa 12 alfajiri watu wameshaamka wanafanya uhuni, huoni hatari hiyo.

Hii dawa ilibidi twende nayo kwa kasi ile ya KIKOMBE CHA BABU
 
Forum statistics

Threads 1,236,040
Members 474,950
Posts 29,244,519