Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

Hili suala la kugandishana linapaswa kutazamwa kwa undani sana sio ushabiki tu na jazba. Fikiria maswali yafuatayo:
  • Kwa nini wanaogandisha mara nyingi ni wanaume dhidi ya wake na wagoni wao? Je hao wanaume wao ni watakatifu? Hawatoki nje ya ndoa?
  • Je una hakika kuwa mtindo wa kugandisha unatokana na wivu tu na sio kitega uchumi?
  • Je kama mke anabakwa au kashikiwa kisu akatoa mzigo na matokeo kagandana na huyo mhalifu, itakuwaje?
  • Je hiyo aibu unayomsababishia mkeo wewe unaikwepea wapi? Si ni ni sawa na kuwalipua wagoni kwa bomu la kujitoa mhanga huku ukifa na wewe?
  • Je uchawi ndio liwe suluhisho la matatizo yako ya ndoa?
Mimi sitegemei mtu aliyeelimika afanye upuuzi wa namna hiyo! Kwanini usimtaliki mwenzi wako asiye mwaminifu?
 
Mi naunga hoja zako hapo juu! Maana watu wanashabikia tu kwamba dawa hii ije na kila moja awe nayo! Lakini hawangalii madhara yake ambayo ni makubwa kuliko kumnasa mtu. Mifano mizuri umeitoa hapo juu iwapo mtu kambaka kwa nguvu mke!
 
Nani atawatenganisha wakiwa wamegandana? ni navyosikia naniii....inakatwa na kubaki kwa mwanamke kama faida
 
Mfano, umesafiri kama wiki tatu hivi uko Tanga au Kagera. sasa akajitokeza mwanamke mzuri na wewe hujui kwamba ameolewa na ukalala nae tena usiku mmoja tu! Na hapohapo ukaganda, si hiyo ni bahati mbaya?
Kwa nini ukalale na huyo mwanamke usiku mmoja wakati siyo mke wako? Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuhalalisha zinaa hapo. Huwezi kutuambia ukisafiri lazima uloweke hilo dudu lako, kwani usipoloweka utakufa??
 
sio ushirikina, teknolojia komoa komoa

wa TZ kilasiku ni watu wa kutunga vituko 1...MTU AMEGEUKA NYOKA BUGURUNI...2..KIKOMBE LOLIONDO...3..WATU WAMEGANDANA..NAIMANI IKOSUKU 2TAAMBIWA MUNGU YUPO JAGWANI...anataka kuongea na RAISI KIKWETE watu pia watajazana Jagwani..ili wamuone MUNGU
 
I have no comment on this.. Ngoja nipite.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa nini ukalale na huyo mwanamke usiku mmoja wakati siyo mke wako? Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuhalalisha zinaa hapo. Huwezi kutuambia ukisafiri lazima uloweke hilo dudu lako, kwani usipoloweka utakufa??

Kama mtu amezoea kuloweka na kulowekwa, atashindwa kuvumilia safari ya kukaa miezi miwili.
 
quote_icon.png
By Mwana Mtoka Pabaya

Inakudhalilisha ukiwa zako kanisani unasali au inakudhalilisha ukiwa unapata haki yako ipi?

Kwani kudhaliishwa hadi uwe unapata haki? hata ukiwa na kosa huitaji kudhalilishwa kwani kuna vyombo vya sheria.

Ni kweli mkuu kwa vile anachomanisha Mwana Mtoka Pabaya ni kwamba ushirikina uchukue nafasi ya sheria!
 
Nonesense! Tuseme mwenzako amelazwa kwa muda mrefu utashindwa kujizuia utaenda kutafuta wa kujiliwaza nae? What happened to self pleasuring? Kama uliweza kuishi miaka 20+ bila sex, utashindwa kuishi wiki au miezi miwili? Mnajiendekeza tu.

Kama mtu amezoea kuloweka na kulowekwa, atashindwa kuvumilia safari ya kukaa miezi miwili.
 
Nonesense! Tuseme mwenzako amelazwa kwa muda mrefu utashindwa kujizuia utaenda kutafuta wa kujiliwaza nae? What happened to self pleasuring? Kama uliweza kuishi miaka 20+ bila sex, utashindwa kuishi wiki au miezi miwili? Mnajiendekeza tu.

Ugonjwa ni kitu kingine, na hiyo miaka 20 ni ya adolescence hivyo sio good reference point.
 
So even thought you know you will be home in 2 weeks , you would still cheat on your partner?You just have 0 self control? Kwahiyo mwenzako rukhsa kutembea nje si ndio?

Ugonjwa ni kitu kingine, na hiyo miaka 20 ni ya adolescence hivyo sio good reference point.
 
quote_icon.png
By Mwana Mtoka Pabaya

Inakudhalilisha ukiwa zako kanisani unasali au inakudhalilisha ukiwa unapata haki yako ipi?

Ni kweli mkuu kwa vile anachomanisha Mwana Mtoka Pabaya ni kwamba ushirikina uchukue nafasi ya sheria!

Wewe unaonekana mzinzi aliyeshindikana, kwani hapo nini kinakuwa cha kwanza kuingia, dawa au wewe. Wewe umeenda kuiba ukakamatwa utamlaumu vipi aliyejiwekea mtego akakaa pembeni.

Wengi hapa mnaongea kama kufanya umalaya ni haki yenu. Japo siungi mkono ushirikina lkn napinga vikali mawazo yenu. Uhuni si mzuri. Hiyo dawa haidhalilishi unayejidhalilisha ni wewe unayeamua kuvuana nguo hovyo hovyo kama mnyama
 
Kwani ni wote wanasali humu? Kuna wengine tunaswali msikitini

Kwa hiyo msikitini ndio mliruhusiwa kwenda kufanya ufuska?

Hiyo haikuwa hoja, hoja ni kwamba ulidhalilika ukiwa kwenye ibada au kwenye ubaya? Haramu kwa haramu shida iko wapi!

Kutoka nje ya ndoa ni dhambi kama ulivyo ushirikina. Acheni kushabikia umalaya.

Hiyo dawa ikipatikana nawahi kumpelekea mkeo akutegee mshenzi wewe usiyeweza kuficha maumbile yako mbele ya watu wengine
 
quote_icon.png
By Mwana Mtoka Pabaya

Inakudhalilisha ukiwa zako kanisani unasali au inakudhalilisha ukiwa unapata haki yako ipi?

Ni kweli mkuu kwa vile anachomanisha Mwana Mtoka Pabaya ni kwamba ushirikina uchukue nafasi ya sheria!

Kama unaitaka sheria basi tambua kuwa inakataza kutembea na mwenzi wa ndoa wa mtu mwingine.

Hivi mtu akikataza kupita nyumbani kwake halafu akatega miba, na wewe ukaenda ilhali unajua kunakatazwa kupita ile miba ikikuchoma unamlaumu mwenye nyumba kweli wkt unajua wewe ulikuwa unavunja sheria?

Haya sasa, yule aliyenaswa akashitaki kama unaona yeye amevunjiwa haki
 
Kwa hiyo msikitini ndio mliruhusiwa kwenda kufanya ufuska?

Hiyo haikuwa hoja, hoja ni kwamba ulidhalilika ukiwa kwenye ibada au kwenye ubaya? Haramu kwa haramu shida iko wapi!

Kutoka nje ya ndoa ni dhambi kama ulivyo ushirikina. Acheni kushabikia umalaya.

Hiyo dawa ikipatikana nawahi kumpelekea mkeo akutegee mshenzi wewe usiyeweza kuficha maumbile yako mbele ya watu wengine

Mkuu nimekupata....maelezo yako yanajitosheleza ila tatizo ni pale ambapo watu wataacha kufanya shughuli za maendeleo ya kuanza kusaka hiyo dawa ya kugandisha. Aibu niliyokuwa nasema ni hii; Je ukimwekea mkeo na akaganda, hiyo ni shared shame na wewe kwa vile huyo ni mkeo. Hoja ni kwamba dawa hiyo sio tiba, tiba ya kweli ku uaminifu na kuelimishana kwa dhati.
 
Unadhani nini kinachukua muda na resources nyingi za familia:
1. Kusaka dawa ya kugandisha msaliti wa ndoa au
2. Kutongoza, ku-care, ku-spend na hatimaye kwenda kufanya ufuska na mke wa mtu?

AIBU:
Suala la aibu halikwepeki tangu saa ile mwenza wako wa ndoa anapoamua kukusaliti. Kwa akili za wasaliti, huwa wanadhani wanafanya siri kuubwa, kumbe wajinga nyie hamjui ni suala la wakati. Ukimwi ukishaingia kwenye ndoa, ataanza kusingiziwa hata aliyekuwa amejituliza zake.

Hiyo unayoisema wewe kuwa ni tiba ya kweli nadhani unajua ugumu wake ukizingatia una akili hizo ulizonazo. Uaminifu ni dahali ya kila mtu, kuna watu kama wewe ambao kwa malezi mliolelewa huwa mnaamini ni sahihi na ndio ujanja kutembea nje ya ndoa zenu.

Mi ningefurahi kama kila mtu angepewa. Usaliti unafedhehesha na unaleta mikosi kwenye familia
 
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka kwamba dawa hiyo anayo! Mimi niliposkia kwamba sasa itaanza kupatikana kiholela nimeogopa sana kwamba hali itakuaje?

Hii dawa ikianza kutumika hovyo, je itakuwa mke au mme anamkomoa mwenzake au ni kudhalilisha ndoa? Maana chukulia kama mke wangu amenigandisha na HG, wakaja watu kunishangaa pale nyumbani. Nani atadhalilika zaidi, mke wangu au mimi niliyegandisha na HG? Nadhani huko sio kumkomoa mtu bali ni kudhalilisha familia nzima. Cha ajabu, eti mwanamme anamgandisha mke wake na mtu mwingine, sio aibu hiyo?

Lazima jamii ielimike na kuachana na mambo haya ya kijinga.

hahahahaha! unaogopa nn Wiliyeye, kwa kuwa unajua unatembea na rafiki wa mkeo na umezaa naye? TENA MM NAKUOMBEA UKAMATWE NA HUO MNATO, NA UTOLEWE HADI KWENYE TV , Nafikiri ukitoka hapo utamuheshimu mkeo.
 
Lisa, mimi siogopi sana ila nawahurumia watanzania watakaodhurika na dawa hii. Halafu wengi watatapeliwa na waganga wa jadi. Uwapo wasomi tutaanza kufikiria uganga, je tunatengeneza jamii gani? Maanake mtoto akizaliwa atakuwa anawaza uganga tu ndo sayansi pekee atakayoijua.
 
Amini nakuambia, ipo nafuu mara kumi elfu watoto wakizaliwa wakawaza uganga kuliko watoto wakirithi UZINZI. Uzinzi humfarakanisha mtu na mwili wake mwenyewe kabla haujamfarakanisha na mwenza wake.

Wamuelewaje mwanamke aliyeamua kuufanya mwili wake dustbin kiasi kila mwenye manii yake akamwage humo? Hajafarakana na mwili wake huyo? Hajaugawagawa vipande ikiwa kweli anaamini juu ya mwili mmoja?
 
Back
Top Bottom