life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Ohh dadangu ilikuwa wapi na when? ee mlipitia mengi! cku hizi Neema..Umenikumbusha sisi tulikuwa tunaanika pilau kwa jua (pilau halichachi), uporo wa ndizi na wali ulikuwa unaliwa hivyo hivyo bila kupaswa; ilmradi chai ni ya moto.