Dawa Ya Kiranja Mnoko Shuleni

Dawa Ya Kiranja Mnoko Shuleni

Mpwa unakumbuka hekaheka za Mwl Mpande...sijui kama alikuwepo time unasoma

Hahahahaha yule mticha ni noma.... Alikuwa mwalimu wa vijana na michezo. Mikwala balaa!

Mkuu ulibukua pale? Bila shaka utakuwa hujaisahau ochard kama ulibukua pale.
 
Duuu kwa ukali wote huo kaunga ,wamekuzalisha,hongera
mwanangu shule yake ya pili (primary) aliniambia shuleni wanakula vizuri kuliko ninavyompikia; can u imagine?
Ya sasa hivi ni miwali tu daily, hadi unamuonea huruma akija anavyogombea ugali.
 
Hahahahaha yule mticha ni noma.... Alikuwa mwalimu wa vijana na michezo. Mikwala balaa!

Mkuu ulibukua pale? Bila shaka utakuwa hujaisahau ochard kama ulibukua pale.

Hahaha hapana mpwa sikubukua pale ila wakati nipo Arusha kule mlimani tulikuwa tunaenda kucheza mpira hapo Tech...jamaa zangu ndio wakanipigia story yake
 
Hahaha hapana mpwa sikubukua pale ila wakati nipo Arusha kule mlimani tulikuwa tunaenda kucheza mpira hapo Tech...jamaa zangu ndio wakanipigia story yake

Oraytoooo..... Umenikumbusha enzi hizo sasa.
 
Mosho tech oyeer! Mpande noma! Vimbuzi vilikua vitamu ka pizza!
 
Kuchoma mzinga wake.........very sad

03++Wildness+Safaris+Tanzania+Selous+Game+Reserve.JPG

shuleni kwetu aliwekewa ----- usiku. Imagine umetoka kuoga-bila kujifuta-halafu unajilaza katika shuka iliyojazwa PODA ya -----! Adhabu ya kutisha aliyotoa Headmaster ilinikumba japo sikuhusika katika njama hiyo (nilitoa dose ya ------viberiti viwili-bila kujua vinaenda kutumika wapi)
 
shuleni kwetu aliwekewa
----- usiku. Imagine umetoka kuoga-bila kujifuta-halafu unajilaza katika
shuka iliyojazwa PODA ya -----! Adhabu ya kutisha aliyotoa Headmaster
ilinikumba japo sikuhusika katika njama hiyo (nilitoa dose ya
------viberiti viwili-bila kujua vinaenda kutumika wapi)

Unafundisha nn jamii we kenge?
 
Back
Top Bottom