Watu8 hii ilikuwa siyo kupasha sasa; nadhani ulikuwa unapikia darasa Zima!!! Maana hiyo SANDUKU kwa size yake kakiporo ka mtu mmoja lazima kaungulie tuuu
hahah...mlikuwa mnakula hadi pilau?...sisi hicho chakula hadi graduuu...
mhhhh!! mdogo wangu tells me kwao wanapata heavy meals. ngoja akirudi likizo ntamuuliza exact menu yao. they even get to watch soccer leagues
Umenikumbusha sisi tulikuwa tunaanika pilau kwa jua (pilau halichachi), uporo wa ndizi na wali ulikuwa unaliwa hivyo hivyo bila kupaswa; ilmradi chai ni ya moto.
Dah..! mmesoma kwa anasa nyie... hadi pilau!?? nakumbuka Rungwe sec. wali ulíkuwa unaliwa jumanne jioni tu... unakuta kitu kimepigwa mawese hadi sio vizuri...
he says the same thingmwanangu shule yake ya pili (primary) aliniambia shuleni wanakula vizuri kuliko ninavyompikia; can u imagine?
......
kufuli la nini sasa? au kuna wadokozi wa mboga jikoni?
Nashukuru sikuwahi kusoma hizo zinazoitwa boarding schools
Nini hiyo? ....
mkishaiba hiyo miswaki, mnaitumia au mnauza?? who buys used toothbrushes?Hahaha hiyo ni abiria chunga mzigo wako...boarding school za wakati wetu watu tulikuwa tunaibiana hadi miswaki, sasa piga picha mtu akute unapasha pilau kihasara hasara
mkishaiba hiyo miswaki, mnaitumia au mnauza?? who buys used toothbrushes?