Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kuchoma mzinga wake.........very sad
Kuchoma mzinga wake.........very sad
![]()
Ndo mkampa hiyo dozi au?Kenge mkuu wa enzi zetu alikuwa mnoko kuliko hata Head Master
Bondo au siyo? Maana shule nyingi wali ni hadi weekend au sikukuu?
Umenikumbusha sisi tulikuwa tunaanika pilau kwa jua (pilau halichachi), uporo wa ndizi na wali ulikuwa unaliwa hivyo hivyo bila kupaswa; ilmradi chai ni ya moto.