Mdau Mkuu
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 235
- 47
Jamaa mmoja alioa mke mara siku moja mkewe akamwambia kuwa bomba lao la maji limepasuaka,jamaa akamjibu 'umeona me fundi bomba?',mkewe akawa mpole,haikupita wiki 1 mkewe akamwambia kuwa ukuta wa nyumba yao umebomoka ,jamaa akamjibu 'umesikia me fundi ujenzi'.
Baada ya wiki moja jamaa akashangaa kukuta bomba na ukuta vimekarabatiwa,akamuuliza mkewe imekuwaje?
Mkewe:-nimemleta fundi akarabati ila akasema anataka chapati au penzi ndo atengeneze.
Jamaa:- eehee umempa chapati za shilingi ngapi?
Mkewe:- 'umesikia me mpishi wa chapati?'.
Jamaa akazimia kuckia hvyo!